City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Haifa refinery imebondwa huko, F-35 ilikuwa imeingia kwenye anga la Iran imepewa mpapaso, sasa sijui anamdanganya nani!?💥💥💥💥
Trump: tumeibomoa Iran, kilichobakia ni strait of hormuz
Mkuu ukiambiwa nchi za ulaya ni tajiri haimaanishi wote ni matajiri bali percent kubwaHaifa refinery imebondwa huko, F-35 ilikuwa imeingia kwenye anga la Iran imepewa mpapaso, sasa sijui anamdanganya nani!?
Base gani haijashambuliwa? Labda Jordan na Syria huko ambayo ipo mbali na Iran, Unajua maana ya kila MTU ajilinde anavyojua yeye? Sio Tu base zimepigwa Bali Askari wa USA wanawindwa mtaa kwa mtaa, wakienda hotelini ama popote wakionekana Shahed zinakuja kupiga ndio maana Balozi za Marekani zikatoa tamko kila MTU ajilinde mwenyewe.Us bado hajapoteza influence middle east,
Why sababu alipo sasa hiv nchi husika hazina option ya kwenda kwingine. Russia is busy , china hawataki kuhusika directly
And for the record si base zote za us zimepigwa au balozi zote
Na aja attack base zote
Na si kweli bases zote zilishbuliwa kwamba masoja wamekufa wameziachanwazi nope. Bado zina watu.
So shambulizi doesnt mean success.
So iran wakati anaendelea kupoteza leadership yake aangalie namna nyingine ya kumuumiza us, maana bado Us ana power and influence
Haaaahaaa we jamaa wewe mbona mnafiki hivyo?Wewe unayependa nchi yako Tanganyika ukipata huo upenyo hauendi??
Acheni unafiki
Wamemaliza nini!?Mkuu ukiambiwa nchi za ulaya ni tajiri haimaanishi wote ni matajiri bali percent kubwa
Ukiambiwa Tanzania au Uganda Ni maskini haimaanishi wote ni maskini Bali asilimia kubwa.
Hapo hamaanishi kwa 100%, anamaanisha kwa asilimia kubwa wamemaliza
Hapa tusubirie maafa makubwa kwa miundombinu ya Iran.
Wazee wa kupiga michoro, angalia video ya nne hio, huo ni mchoro sio hellcopter, bomu limepiga ila Mkia UPo vile vile.
Hao wachezaji wa kike wamelazimishwa kufanywa hivyo na karibia wote wamepewa uhifadhi na wameamua kurudi Iran, why waache maisha mazuri ya uchawa warudi kwao Iran?Mbona huzungumzii wa wachezaji wa kike waliokataa kuimba wimbo wa taifa na kugoma kurudi Iran. Ukweli ni kuwa wa Iran wengi hawapendi utawala wao na hata wewe ukiambiwa ukaishi Iran chini ya zile sheria huwezi tatizo ni unafiki tu. Binadam wanahitaji uhuru sio kuishi kwa kulazimishana na masheria ya ajabu kama watu wapo jela. Na ndio maana hata wa Iran na waarabu wengi wakipata upenyo wanambilia Canada na Marekan na Sio Afghanstan au Yemen hii inaonesha watu wanapenda uhuru na lifestyle ya wazungu sema unafiki tu ndio umewajaa.
Madhara hayakua makubwa sababu haikua direct hit Bali ni fragments kutokana na interceptionHapa tusubirie maafa makubwa kwa miundombinu ya Iran.
😄US treassury secretary Scott Bessent "We might unsanction the Iranina oil on the coming days".
Kunani tenaaaa!??
Mkuu mbona kila Mara anasema? Miundombinu ya jeshi la IranWamemaliza nini!?