City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Wana miundombinu mingi iliyo sehemu tofauti, haiwezi kuisha kwa 100% kwenye hizi wiki mbili. But muda unavyoenda na waavyoshambulia wana uhakika watamaliza kwa 100%Naomba kuuliza inamaana mabomu yote ambayo Israel na marekani wanashusha hapo Iran , hayajaweza kuangamiza kabisa uwezo wa irani wa kurushwa makombora? Hili kitaalamu linawezekanaje au wairani wanatumia mbinu Gani?
Waliopo eneo la tukio wanasema, pia na video mimi nikiangalia nauona huo mlipuko mkubwaMkuu samahani kama hutojali mlipuko mkubwa ama mdogo una ujuaje ? Sasa hivi upo Iran mkuu ?
Ni ndege ya ngapi hii kutoka Marekani yenye rubani na isio na rubani ambayo imepatwa na matatizo makubwa kama haya mkuu toka vita ianze ?

Interim Prime minister ameshachaguliwa kumrithi Neta. Sasa kama hajafa kwanini interim leader achaguliwe??Na wewe unaamini Netanyahu kauawa? kweli jf imevamiwa nowadays.
Viwanda vyote teknolojia yote vimeangamizwa?π₯π₯π₯π₯
Netanyahu: Iran haiwezi tena kuunda makombora
Ndio anavyosemaViwanda vyote teknolojia yote vimeangamizwa?
Vichekesho hiviπ₯π₯π₯π₯
Netanyahu: tulikua tukitoa tahadhali kwa muda mrefu kuwa Iran anaweza kushambulia kwa makombora nchi zote jirani. Jaribu kufikiri kama wangekua na silaha za nyuklia. Israel na marekani wanalinda dunia sio tu mashariki ya kati
Huo muda mfupi lini na nani atakuwa mshindi kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran ?π₯π₯π₯π₯
Netanyahu: Vita itaisha muda mfupi tofauti na watu wanavyofikiria