Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran kama mbabe kwanini asiende kumpiga US kwake?
Au anaogopa?
 
huo ni ushauri my lady,
pole ikiwa umetishika, dah,

samahani sana aise, kwanini kutishana bana na nchi ya amni hii
Punguza ushauri, watu tuko busy..!!
Anza kumshauri mama yako ajiandae na ICC
 
Uongo 😹😹😹
 
Iran kama mbabe kwanini asiende kumpiga US kwake?
Au anaogopa?
Dogo Iran ni mbabe sababu naona UK kisha amua kumsaidia shoga wake US kwa kipigo alicho kipokea kwenye base zake zote

Iran kama mbabe kwanini asiende kumpiga US kwake?
Au anaogopa?
hana vifaa vya kufika US,
Na US kamwe haiwezi kukubali kuruhusu Iran kufanikiwa kutengeneza silaha za kufika US.
Na kamwe US haiwezi kuzichokoza nchi zenye vifaa na silaha ambazo zina uwezo wa kufika US kama Urusi, North Korea n.k
 
Ipo siku kitamlamba kwa Uchokozi wake
 
Hana ubabe wowote, wenzie wanamtombea ndani kwake yeye anapiga mayowe nje..!!
Si dharau hizo?!! 😹

Hebu amfate kwake km kweli mwanaume..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…