Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ndio maana nikasema China ni paper tiger, Urusi hivyo hivyo tulitegemea atatumia wiki Ukraine sasa hivi ni mwaka wa 4 bado anahaha, China aichukue kwanza Taiwan alafu ndio aje autambie ulimwengu
 
Utakuwa na matatizo sio bure yaani Marekan amuombe Iran masamaha? huo ni ujinga America yupo kwa maslahi yake hii vita ni ya Israel na akiamu kupiga popote anapiga. Ukiwa na akili timamu huwezi sema Iran anaombwa msamaha wakati anga lake limeshikwa na viongizi wanauwawa kila siku. Hivi Amerca asingemzuia Netanyahu kupiga miundombinu leo hapo Uran hata maji ya kunywa yasingekuwepo.
 
Ndio maana nikasema China ni paper tiger, Urusi hivyo hivyo tulitegemea atatumia wiki Ukraine sasa hivi ni mwaka wa 4 bado anahaha, China aichukue kwanza Taiwan alafu ndio aje autambie ulimwengu
China uwezo wa kuivamia Taiwan na kuitwaa wanao hata leo.

Ila kipaumbele chao ni peaceful re-unification.

China na Taiwan ni ndugu
 
Wewe sijui upo dunia gani,we unazani Trump alipenda kuongea hivyo.



View: https://m.youtube.com/watch?v=Iftset8PK7g&pp=ygUnVHJ1bXAgdGVsbCBpc3JhZWwgbm8gbW9yZSBhdHRhY2tpbmcgZ2Fz
Ushike anga then ndege yako unayodai haionekani kwenye anga F-35 yenye thamani ya 100m USD ipigwe tena na bomu la 10k USD?

Ushike anga juzi Iran alipokuwa akilipa kisasi baada ya kituo chake cha gasi kupigwa alipiga sehemu tatu kwampigo Kuwait,Qatar ,Saudi na Kwa Myahudi kapiga sehemu mbili Banzan na Haifa oil refinery?

Hilo anga amelishika vipi?

Mara mnasema ameshika Navumy,haya mpaka sasa meli tatu za US Lincoln,Ford na Tulsa zimeondoka eneo la Middle East na huku Iran akiishika Hormuz, hiyo Navy nayo wameikamata vipi labda utuelezee?

Fuatilia fuatili hata vyombo vya habari,leo big news ni Iran kurusha bomu range yake 4000km+,kila chombo cha habari wanajiuliza millitary capabilities na hii tech Iran ameipataje,maana kama unauwezo wakutengeneza bomu linalo safiri km 4000,basi ni easy kutengeneza la 10000km.
 
⚡️⚠️🇮🇷🇪🇺😒 Donald Trump gave Europe an ultimatum: either they send their troops to fight Iran, or the US will annex Greenland.

📍Trump also presented the Gulf States with a bill for the war with Iran:

❗️According to Omani journalist Salem Al-Jahour, Trump gave the Gulf States a tough ultimatum: $5 trillion if they want to continue the war with Iran, $2.5 trillion if they want to stop it.
 
JUST IN: 🇮🇱🇮🇷 Israel says strikes on Iran will increase and escalate "significantly."
 
‼️🇺🇸 Trump is demanding $5 trillion from the Persian Gulf countries to continue the war against Iran, or $2.5 trillion to end it

▪️Journalist Salema Al-Jahourionald stated this on Omani television.
 
⚡️⚠️🛢🖤🇮🇷 Iran has been trying to lift its sanctions through diplomacy for decades. It has failed. Three weeks after the war began, the US lifted oil sanctions on Iran without even waiting for its request.

📍These Zionist savages must be addressed only through force.
 
⚡️⚠️🖤🇮🇷 Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi:

❗️ We do not accept the ceasefire because we do not want to repeat last year's scenario.

P.S. That's right!!! These rabid Zionist hyenas must be put in their place once and for all...
 
‼️🇺🇸🇮🇷 The US will allow Iran to receive about $14 billion in oil revenue for the first time since 1996, says Axios journalist

▪️Barak Ravid writes about the paradoxes of the lifting of US sanctions against Iranian oil.
▪️This is a huge financial concession to Iran by the US.
▪️This is the first time the US has bought Iranian oil since 1996.
➖"All this is happening in the midst of a war against... Iran," the journalist writes.
 
Kila siku unajifariji na viquote vya kuokoteza hivi kwa akili yako unadhani Marekan anashindwa kupiga hiyo miundombinu na kuharibu kila kitu hapo Iran ikiwa hata anga lao lipi chini ya US kwa sasa? Marekan kaviacha hivyo kwa maslahi yake hapo baadae na endapo Iran atakataa utaona atakavyopita navyo.
 
Siokotezi Quote hizo habari zote ni vyombo vikubwa duniani, labda kama huelewi kinacho ongelewa.

Angalia Pentagon wanalamika.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Et9-CbYtLl8&pp=0gcJCcUKAYcqIYzvSi shangai maana hata Pentagon sasa hivi inalalamika kwa nini media zinakosa uzalendo kwa kuongea ukweli,wameshindwa kucontrol Informations.

Kwani Iran wanaogopa nao wanamsubiria.
 
Us wana tech ya zamani? 🤣. Dah you have no idea budget wanayotenga tu kwa ajili ya majeshi yake sio poa.
Ni mo ya majeshi yenye latest weapons
Drones za Iran zinaonesha Patriot na tech nyingi za kisasa ni nothing mbele yake, sasa hivi ina maana Nchi yoyote Duniani hata kama ni masikini na Bajeti ndogo ina uwezo wa kupambana na Nchi kubwa as long as Wana drones za Iran, huoni hapo tayari imechange modern warfare strategy?

1. Marekani mwenyewe ameanza kucopy Shahed anatengeneza drones zinaitwa Lucas ambazo ni clones za Shahed kukabiliana na vita vya design hii.

2. Sudan wameweza kuwapiga waasi wanaokuwa supported na west na UAE asante Drone za Iran.

3. Ukraine Drones za Muiran nazo zilileta balaa kubwa.

So Dunia inabadilika na Iran ndio ameibadilisha, every where sasa hivi ni drones, as cheap as possible.
 
V Vipi kuhusu upande wa anga na majini Iran yuko vipi na suala zima la kulinda raia wake kipindi cha vita kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…