Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ukraine wanazitungua hizo kwa gharama ndogo tu hadi waarabu wameomba msaada kwao
 
Kama hujui umuhimu wa viongozi na maisha basi sina haja ya kubishana na wewe. Sasa inabidi utambue ulinzi wa viongozi na usalama wao ndio kitu muhimu sana kwa nchi yeyote ile na ndio maana hata bajeti yao ya ulinzi ni kubwa sana. Kuuwa kwa viongozi wakati wa vita tena kirahisi hivyo inaonesha udhaifu mkubwa sana wa usalama. Hii ina maana kama Israel angekuwa anatarget raia kama afanyavyo Iran basi maafa yangekuwa ni makubwa mno huko Iran.
 
Iran anapigania hadhi na heshima ya taifa lake baada ya kuchokozwa na kiongozi ni heshima kutoa uhai kwa ajili ya taifa lake. Israel na US watarget raia mara ngapi au wale wanafunzi zaidi ya 150 waliopigwa na Thomhawk sio raia wale?
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa mazandaran
 
Wakuu naomba kuuliza.

Je, Iran miaka yote atakaa bila uwezo wa kuua viongozi wa maadui zake Kama wanavyomfanyia???

Swali la pili. Kama Israel na marekani wanaweza kupenyeza majasusi wake Iran, je Iran anashindwa vipi kupenyeza majasusi wake Israel na marekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…