Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

hana vifaa vya kufika US,
Na US kamwe haiwezi kukubali kuruhusu Iran kufanikiwa kutengeneza silaha za kufika US.
Na kamwe US haiwezi kuzichokoza nchi zenye vifaa na silaha ambazo zina uwezo wa kufika US kama Urusi, North Korea n.k
Nyie jeshi lenu la kuvunja tofali lina vifaa vya kufika wapi? 😹
 
Nyie jeshi lenu la kuvunja tofali lina vifaa vya kufika wapi? 😹
kamwe US hawezi kuichokoza Tz,
atajuta,
by the way anaujua vizuri sana motro wa JWTZ na kwahivyo hawezi kuthubutu chochote kwa TZ
 
kamwe US hawezi kuichokoza Tz,
atajuta,
by the way anaujua vizuri sana motro wa JWTZ na kwahivyo hawezi kuthubutu chochote kwa TZ
😹😹😹 Nyie machawa hamjawahi kumiliki akili..!!
Hilo jeshi siku US wakisema wanakuja kuwafumua amini nakwambia wote watajifanya wananchi wa kawaida..!!
 
Ipo siku hata mbuyu ulianza km mchicha, sema tunaponzwa na machoko km kina lucha badala ya kutetea nchi yenyewe yanaenda kumpa duli kiboga..!! 😹
Unaukosha saana moyo wangu.
 
Hivi ina maana hata hizo missiles zimefika Israel si hypersonic..
Nini maana ya kupaki manowari na destroyers karibu na Iran..
Ina maana hata cruise missiles wameshindwa kuzipangua?
Aisee hii ni hatari..
Jeshi la Iran wanareport kama Lisaa lililopota wamekula vichwa vya warship kadhaa, wamesema ni MST, pengine wanaogopa kureveal location hali Tete.
 
Mbona Maboss wa Iran wanaliwa vichwa kirahisi sana inakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…