Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Umtenge na hapa ulipo unatumia teknolojia yake unahisi ni rahisi kihivyo, au ni vile mkishiba magimbi unatype tu unachojisikia.... USA tu katoka WHO vilio ni vingi hadi sasa ARVs tu kupatikana limeanza kuwa tatizo... Itachukua labda karne kuondoa mchango wa USA kwenye dunia na hata asiposhiriki kwa chochote impact yake isionekaneDunia ifikirie kuachana na US atengwe kuliko Ukoma
Likabomoe sioJamaa wanaanza Kwa kuliaga 🤣😄
Pia definition ya ushindi na Aina za ushindi huandikwa na anayejiona anastahili ushindi.History huandikwa na washindi hata kama wao ndio washenzi hawawezi kujitaja sana sana watajisifia tu na kuwataja wapenzi wao kuwa ni wakatili kumbe makatili ni wao
Power of propaganda
Pia definition ya ushindi na Aina za ushindi huandikwa na anayejiona anastahili ushindi.
Trump, mathalani, mwanzoni mwa machi (tangu vita hii ianze February 2026) alijaribu kutaka kuandika definition ya ushindi anayoijua yeye. Akaainisha maeneo waliyoshinda, ambayo ni: (1) ushindi dhidi ya anga la iran (2) ushindi dhidi ya jeshi la majini (3) ushindi dhidi ya viongozi WA Iran walioitwa magaidi-"tumewaua wote", (4) ushindi dhidi ya kambi zote za jeshi za Iran (5) ushindi dhidi ya arsenal facilities zote za Iran (6) ushindi dhidi ya mifumo yote ya ulinzi ya Iran, (7) n.k
Kitabu alichokuwa anataka kukiandika Trump, kabla ya ya vita kuisha, tayari kimebuma, hakiuziki sokoni. Wanadunia wanambeza na definition ya ushindi aliyotaka kuiandika, wanadunia wanambeza Aina ya ushindi aliokuwa akiuelezea.
Trump alisema Iran imedhoofika kwa 100%, lakini straight of harmouz imemshinda na sasa anadai dunia yote inapaswa kushiriki kukomboa eneo Hilo. Alisema sasa Iran hana hata uwezo WA kurusha jiwe kuelekea Israel, lakini kila siku tunaona vyuma vinashuka kuelekea si tu Israel Bali pia nchi zote za ghuba. Israel sasa hivi kila siku na yenyewe inalalamika juu ya uharibifu anoufanya Iran nchini Israel.
Kwa hiyo, wakati mwingine historia Huwa inaandikwa kwa lengo la upotoshaji ili kumfeva Yule anayejiona ndiyé mbabe. Trump anabahati mbaya Sana kipindi hiki wanadamu wamechangamka kiakili, hawadanganywi hovyo.
Popote pale panapo myahudi chokochoko lazima ziwepo mna waytahudi ni watu wakupenda shari tuuu
Kwaio kama anapigwa apigwe kweli kweli na msikibali surrender yake hakika ni muongo mpigeni mpaka amalizike haswaaa
Naam 🔨Propaganda promax
Wewe angalia tu humu jamvini kuna mtu kila saa anapost israel anashambulia sehem fulani lakini kuna Dimona sijui njugu zimeshushwa huko haandiki..
Ikitokea baadae miaka kadhaa mtoto akisoma ataona israel ilikuwa inashambulia tu haikushambuliwa.
Ndo mfano wa Hitler sasa.
Wanajua janga kubwaaa linaenda kwa wenzao vichwa maji🤠Jamaa wanaanza Kwa kuliaga 🤣😄
Wameyataka wenyewe 😁Wanajua janga kubwaaa linaenda kwa wenzao vichwa maji🤠
Zimeanguka dola ngapi au husomi ww? Us kwani ndo Mungu ? DOLA YA WARUMI iko wapi leo? Embu sema kiko wapi?Umtenge na hapa ulipo unatumia teknolojia yake unahisi ni rahisi kihivyo, au ni vile mkishiba magimbi unatype tu unachojisikia.... USA tu katoka WHO vilio ni vingi hadi sasa ARVs tu kupatikana limeanza kuwa tatizo... Itachukua labda karne kuondoa mchango wa USA kwenye dunia na hata asiposhiriki kwa chochote impact yake isionekane
Wahuni wamefungulia sasa moto unapelekwa haswa
Nasikia hapo kuna majeruhi mmoja tena ni dogo alikua katumwa kununua pilipili manga ya sikukuu dukani 🙃🙃 ila myahudiHiki pigo lilikuwa Babu J kweli kweli
View attachment 3561310View attachment 3561311View attachment 3561312
Hiki pigo lilikuwa Babu J kweli kweli
JUST IN: 🇮🇱🇮🇷 Israeli rescue teams are still searching for people trapped under rubble in Arad after Iranian missile strikes.
View attachment 3561310View attachment 3561311View attachment 3561312
Huyu nayeUyo Mjomba kaweka mikono mifukoni!!
Sijui kama hawazi kichwani kukimbia ndani ya Israel Majanga yamepiliza🤠🤠
Hiki pigo lilikuwa Babu J kweli kweli
JUST IN: 🇮🇱🇮🇷 Israeli rescue teams are still searching for people trapped under rubble in Arad after Iranian missile strikes.
View attachment 3561310View attachment 3561311View attachment 3561312