Kobaz mnatamba ehhIran Kwa hiki alicho Kifanya
Anahitaji Pongezi nyingi
Kaionyesha Dunia Usikubari Kuonewa Onewa Tu hovyo
The New York Times:
"The United States lost its war with Iran from the very beginning, and the Mossad's plans collapsed.
And the Iranian people, who it was said would turn against the regime, united with one another. They are now fighting with valor and courage."
Meltem TV Afaan Turkii
View: https://x.com/i/status/2036274053271392504
Mbona hilo Tayari lilisha AnzaWalikuja na Meli miaka kadhaaa nyuma 🤠🤠
💥💥💥💥nasasa Wataondoka na Meli ✍️
Ndivyo mnavyodanganyana na kuropoka !???Iran hawana supreme leader, nilitaka kushangaa watu waue supreme leader waache Waziri wa mambo ya Nje na Spika wa bunge kumbe ni asset za Mossad
Propaganda hizo leo Haifa na uwanja wa ndege wa Ben Gurion zimepigwa, kambi zilizo bakia za US huko Kuwaiti,UAE na Saudi zimebondwa. Hamna mazungumzo yoyote.Iran jana walitangaza hawajafanya mazungumzo na US, wao bado wanaendelea na kile walicho kianzisha US na Myahudi.Nafikiri kwenye haya mazungumzo watakuwa wanamaanisha!!!!!!!!!!!
Tujifunze kuwa na msimamo hata kama una njaa!!!!!!!Namaanisha, tuangalie maslahi mapana na siyo furaha ya leo!!!!!!!!
Direct US-Iran talks could be held in Islamabad this week - report
Direct talks aimed at ending the war could be held in Islamabad as soon as this week, a Pakistani official and a second source have told Reuters news agency.
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Wizara ya mambo ya nje ya Iran imethibitisha kuwa Trump ameomba maridhiano kupitia nchi washirika ikiwemo OMAN.Propaganda hizo leo Haifa na uwanja wa ndege wa Ben Gurion zimepigwa, kambi zilizo bakia za UD huko Kuwaiti,UAE na Saudi zimebondwa. Hamna mazungumzo yoyote.Iran jana walitangaza hawajafanya mazungumzo na US, wao bado wanaendelea na kile walicho kianzisha US na Myahudi.
Mara ya pili, mara ya kwanza Iran alimkatalia Oman na jana Iran wamekataa kufanya mazungumzo na US.Wizara ya mambo ya nje ya Iran imethibitisha kuwa Trump ameomba maridhiano kupitia nchi washirika ikiwemo OMAN.
vimondo vinapenya na kujipigia tu sa hivi, hakuna cha david's sling