Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mji wa Khorromashair Iran muda huu hauna nishati ya gesi baada ya mashambulizi ya asubuhi yaliyofanywa na Marekani na Israeli.

March 24.
 
Kwa udogo wa kijiografia wa Israel na anavyochangiwa na hizbollah,sidhani kama Israel ataweza kuhimili vita zaidi. Ukiona Trump anahangaika negotiations jua anayetafta kuokolewa ni Israel kuliko USA mwenyewe.
 
Robert Kiyosaki:

Here is my analysis as someone who has studied money and power for 50 years.

Iran cannot beat America militarily. That is not even a question.

But Iran understands something most people don't.

The most powerful weapon in the world is not a missile.

It is economic pain.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Rashid complex mashariki mwa tabriz
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Iran imemteua Mohammed Bagher Zolighadr kuchukua nafasi ya Ali Larijan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora ghala la mizinga eneo la Khomein markaz
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kusini magharibi mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la majidieh Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la parchin
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la khojir mashariki mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya mizinga kerman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…