Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la setad square Shiraz. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kamalashehr
 
Unalipwa parefu mkuu! Ulali! Iran ye yeye ashambulii anashambuliwa tu naona! According to your update!
Fatilia updates mara zote bila kuwa na hisia kali.

Iran anatumia kurusha ballistic missiles, harushi mara zote. Na akirusha pia Kuna muda zinakua intercepted hivyo kunakua hakuna habari tena hapo

Israel na marekani wanatumia ndege ambazo kila muda zipo juu ya anga la Iran, hivyo wanashambulia popote wanapotaka

huo ndio utofauti
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Qazvin. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Qazvin
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Qazvin. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la nazarabad
 
Wewe ***** naona unajitahidi kubembeleza hivi inadhani unaongea na wanavijiji wenzako humu watameza upupu unaopika, nenda kawapange wapori wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…