Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hili swala lipo pande zote mimi nipo mtwara mjini na hapa waislamu ni 98% na hao wote wanaishabikia iran na wasomi wao wa dini wanaeleza kabisa huu ndio wakati wa mayahudi na makafiri kufa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mimi naishabikia Iran kwasababu sipendi kuona uonevu na sio kwasababu za kidini kuhusu suala la dini hizo dini huwaga sitaki hata kuzisikia
 
Chizi yule 😁
 
Even 10 million fighters, they can't defeat U.S 82nd Airborne and U.S marine.

Hao ni wanamgambo tuu
Ngoja tusubiri mkuu lakini kitaalamu Kitakacho wagharimu 82nd Airborne ni
"Conventional Peer Combat Inefficiency"
Lakini kwakuwa wameamua kuingia vitani pengine wamejipangaa na Hilo.

Ingawa wenyewe wanasema..

"An army that boasts before the battle is already half-defeated, For the battlefield never follows anyone pride"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…