Netanyahu kafa tangu March 8
Nilisema apa kama wiki sasaπ€ π€
Netanyahu watazuga kumtaftia kashfa kisha tutaambiwa kujiuzulu kwa iyo kashfa ndio kwishaaa habari ya Netanyahu ππ€ π€
Israel watateuwa PM mpya na MEDIA kubwa zitapewa pesa zenyewe zitaongelea tu iyoo kashfa na kujiuzulu kwake Netanyahu
sio zaidi
Siku moja moja tutasikia Netanyahu anaenda Mahakamani lkn ndio ivyo kitengo cha Propaganda cha IDF kinakuwa kazini na AI
Narudia NETANYAHU kafariki,, kuja kujua ni miaka kadhaaa!!!
au Serikali ya Israel idondoke tutajua mengi tu kipindi ichi ,