Iran amebakiza mtihani mmoja tu baasi.
Kulenga na kuua viongozi wa adui.
Akifaulu mtihani huu basi mataifa adui watamheashim
Uliwalaani lini?We jamaa kiazi kweli .
Huoni Aya zinasema nasema nili yaani ni past tense na sio milele ?
Walichaguliwa na walikuwa bora kwa wakati wao na Aya haina viashiria kuwa ni watakatifu na wateule milele ?
Ramzan Kadyrov kiongozi wa Chechnya anasema yuko tayari kupeleka Iran wanajeshi wake wa Miguel kuisaidia kama US atapeleka wake.Mimi nawasubiri tu hao Marine nione mbele ya muajemi yaliyomo yamo ?
Mbona swala la laana unalileta wewe na Mimi hakuna mahali nimetaja laana au kusema watu Fulani wanelaamiwa ?Uliwalaani lini?
Mudy kaandika hizo Aya Tena kwa kusikia mwaka 600AD
Kwahiyo walilaaniwa lini?π€£π€£
Still mudy anasema mkiwa na shaka muwaulize wayahudi na manaswara au waliopewa kitabu
Swali ,Mudy hakujua kama wamelaaniwa Hadi anawatuma muwaulize?π€£π€£
Ukijibu nitajua una akili timamu au ushadanganywa na masheikh ubwabwa
Kwahiyo unakubali wamebarikiwa ,safiMbona swala la laana unalileta wewe na Mimi hakuna mahali nimetaja laana au kusema watu Fulani wanelaamiwa ?
Kama laana ndio , wapo baadhi ya waliolaaniwa kutokana na uovu wao na maandiko yapo.
Kuna ubaya gani kuuliza kwa watu ?
Mbona akili zako kipa katoka golini unajitengenezea jambo mwenyewe wapi nimesema kuwa Kuna watu wamelaaniwa ?
Sasa unajiona uliyokuwa mweupe kichwani mpaka napata mashaka hata shule hauna ?Kwahiyo unakubali wamebarikiwa ,safi
Kawafundishe wenzako sasa
Au muendelee kudanganyana
Sijui KWANINI ila waislamu hajawahi kuwa na akili ,nadhani sababu muanzilishi wa dini yenu alikuwa mbumbumbuSasa unajiona uliyokuwa mweupe kichwani mpaka napata mashaka hata shule hauna ?
Kwa akili yako chuoni (university) ulikuwa unashiriki kwenye debate kweli ?
Kwa pakisemwa mtu Fulani hajalaaniwa basi anakuwa amebarikiwa automatically ?
Kusema Africa hatujalaaniwa ni sawa na Kukubali kuwa waafrika tumebarikiwa ?
Kubarikiwa ni nini na kulaaniwa ni nini na je , hakuna neutral state ?