Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Live video Haifa refinery ilivyopigwa

Your browser is not able to display this video.


Satellite image ikionesha how precise tank lilivyokuwa targeted.


Video nyengine ikionesha kwa karibu Moto unavyosambaa
Your browser is not able to display this video.
 
Iran walipue visima vyote vya mafuta vya israel

Israel nao walipue visima vyote na vyanzo vyote vya mafuta vya iran.
Hapa Iran ndio ataumia sababu uchumi wake unategemea sana mafuta na gesi tofauti na Israel ambaye si sana japo pia ana visima ni vichache kidogo vya gesi ila vya mafuta hata matumzi ya ndani havitoshi!
 
Kwa hiyo sasa ni mwendo wa kulipua visima sio ??

Iran inaweza kweli kuvumilia kweli UTI wake wa mgongo ukivunjwa mbele yake

Israel yeye technology ndo UTI wake wa mgongo

Ana vikwazo vya zaidi ya miaka 40,kama aliweza kufanya makubwa yeye mwenyewe na kuwa na miundombinu aliyo ijenga yeye mwenyewe basi kurecover miundombinu yake na uchumi wake ni kitu chepesi kwake.

Sasa jiulize Myahudi kama angetengwa na dunia kama Muiran angetoboa.
 
Kwa hiyo sasa ni mwendo wa kulipua visima sio ??

Iran inaweza kweli kuvumilia kweli UTI wake wa mgongo ukivunjwa mbele yake

Israel yeye technology ndo UTI wake wa mgongo

IRAN yupo na Majirani wamepakana kwa bahari na Ardhini maisha yataenda !!!!

Sasa Israel jiran hana ❗️

Bahari kashafungiwa pande kadhaaa❗️

Bandari nazo ndio Wanaume wanaendelea kuzilipua pande zote. Pale Iran kule Yemen kazi ipo❗️

Airports napo ndio ivyooo ‼️
 
Marekani kuamini kwake katika lugha ya vitisho na ubabe kunafanya hii vita ku-escalate zaidi kwasababu Iranians hawaamini katika hiyo lugha kwa kuwa wako na pride na pia wako kwenye haki

Kiundani zaidi hii ni vita sio tu dhidi ya Iran bali China pia, US akifanikiwa kudhibiti mlango wa Hormuz anakuwa amedhiti nishati na ukidhibiti nishati unakuwa umeidhibiti China at least for the foreseeable future, sasa China, Iran na washirika wao watakubaliana na hilo
This is pretty much World War 3.
 
We Msabato acha fujo.
 
Live video Haifa refinery ilivyopigwa

View attachment 3564567

Satellite image ikionesha how precise tank lilivyokuwa targeted.
View attachment 3564568

Video nyengine ikionesha kwa karibu Moto unavyosambaa
View attachment 3564569
Sasa itakuwaje Sisi Wakristu tulio aminishwa kwamba: Israel ni tàifa teule la Mungu, tàifa lililobarikiwa. Tuliambiwa ukiigusa Israel umemgusa Mungu, na hatimaye utaalaniwa.
Sasa, inàmaana Iran inakwenda kulaaniwa na Mungu kwa kuigusa Israel?

Hii inaitwa Mbombo ngafu; ukimwaga Ugali Mimi namwaga Mboga.
 
😀😀
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…