UN haiwezi hata kuchukulia hatua wauaji wa Tz itaweza wa USA?Kwa lugha hizi, Kuna Baraza la Usalama la UN kweli? Hapa Kila nchi ijivike mabomu, kumzuia "huyu".
===
To be honest with you, my favourite thing is to take the oil in Iran, but some stupid people back in the US say: ‘Why are you doing that?’ But they’re stupid people,” Trump said in an interview on Sunday.
“Maybe we take Kharg Island, maybe we don’t. We have a lot of options,” Trump added. “It would also mean we had to be there [on Kharg Island] for a while.”
The US president dismissed the possibility that Tehran would put up a fierce fight, saying: “I don’t think they have any defence. We could take it very easily.”
Iran umeme hakuna,internet hakunaIran inakwenda kutia kiberiti mgongo wa kiburi wa mazayuni.
Hao mazayuni wanaonea hadi Wakiristo huko Holly Land. Hawafai hata kidogo
Mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kuwa mikusanyiko sasa hivi huko Israel hairuhusiwi. Ila kwasababu wameona wanaonewa acha wakasali Mungu atawalinda.Iran umeme hakuna,internet hakuna
Mmebaki na propaganda eti wanaonea wakristo
Mbona husemi jinsi Iran inavyozuia na kuminya uhuru wa dini ya Ukristo ,hakuna hata kanisa moja hapo Iran
Msikilize Netenyahu kuhusu wakristo hapo Yerusalemu,
Katolea ufafanuzi ,ila hapa unaleta story za madrasa View attachment 3564709
Si kuna mtu aliandika humu walifika na Iran ishaua 300! Hii thread ina habari ambazo hata huko Iran na Israel hakuna.Wanajanvi tokea jana nasikia jeshi la marekani special force limeshafika mashariki ya kati. Sijasikia wakisema wamefikia ktk nchi gani hapo far east. Mwenye kujua afaamishe ili tukawasalimia na vimondo
Lazima kupowe maana wale waliokaririshwa kuwa ukiibaliki Israeli nawe utabalikiwa wameshaingia mitini. Kipondo wanachokipata hawakukitarajia. Inabidi tuwaelewe na tuwasamshe bureKumepoa sana
Ndio ujuwe wanaoletaga fujo humu ni walokole majitaka🤣🤣🤣Kumepoa sana
Inafikirisha sana 😄UN haiwezi hata kuchukulia hatua wauaji wa Tz itaweza wa USA?
🤣😄 Kwamba ameshakuwa paper tiger Ama niaje !?Hii vita itaenda kuchange vitu vingi sana,hasa mitizamo ya kisiasa,kiuchumi kwa nchi za EU zidi ya US.
Spain kapiga marufuku US kutumia anga lake kwa ajili ya kuishambulia Iran.
View: https://m.youtube.com/shorts/qey5KMZgEgQ
Watu washamchoka na nimemuona Waziri mkuu wa UK ,jana alisisitiza hatotoa mwanajeshi hata mmoja kwenye vita hii ya Iran.