Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Moja ya mbinu ya kivita adui asilkuelewe Nini unataka kufanya
Kwa hiyo tuliza mihemko wanaume wako kazini
 
Lazima kupowe maana wale waliokaririshwa kuwa ukiibaliki Israeli nawe utabalikiwa wameshaingia mitini. Kipondo wanachokipata hawakukitarajia. Inabidi tuwaelewe na tuwasamshe bure
Teh teh teh kupiga majengo ya raia nayo ni ushindi kumbe,wenzenu wapo strategically kuharibu kila kitu kilichotengenezwa kwa miaka 47.
 
Ila leo USA imetembeza kichapo huko Isfahan siyo poa. Wamefukunyua vitu inderground kwa kutumia bunker busters, ilikuwa ni balaa. Siku yangu imeharibika!!
Mwanzo walikuwa wanawaonea huruma mkaanza ngebe,sasa subiri waanze kusawazisha milima na mabonde yote yawe tambarare kama walivyofanya kule Tolabora Afghanistan kipindi kile wanamsaka Osama.
 
Ila leo USA imetembeza kichapo huko Isfahan siyo poa. Wamefukunyua vitu inderground kwa kutumia bunker busters, ilikuwa ni balaa. Siku yangu imeharibika!!
Lini hiyo mkuu? Na Iran amejibuje? Hizo ni hasira za muda tu. Iran ameishashinda hii vita. Na watu wasidhani kuwa USA haumii. Anaumia sana ila tu anashupaza shingo kikauzu. Vyombo vya habari vya magharibi vinatangaza kuhusu USA tu lakini vipigo anavyotembeza Iran wanavimezea.
 
Hhahhaha hivi nyie mnaodai Iran kashinda hii vita kashindaje pia mnajua hali halisi ya huko Iran ilivyo au mshameza propaganda za Mamullah
 
General Cooper jana anakwambia mpaka sasa hawajatumia hata uwezo asilimia tano wa kijeshi na nguvu zao.
 
Mbona damage wanazopata Marekani na Washirika wake tunaonyeshwa tena na Wamarekani wenyewe,mfano juzi tuu ile ndege iliyoharibiwa.
 
Jiulize kama wanasema uongo inakuwaje wakiua kiongozi wa jeshi au raia waatangaza na baadae Iran inakiri ni kweli,hapo ndio utajua ukweli anao nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…