Source: niamini Mimi broIrani leo imepiga operesheni zake vizuri.
1. Wamelipua Rada huko Dahran Saudi Arbia ya kuongozea ndege za F-16.
2. Wamepiga Mkusanyiko wa Makamanda wa Marekani takriban 200 huko UAE ktk base ya Minhad.
3. Na huko Bahrain Drone zimepiga eneo la mkusanyiko wa masoldier wa kimarekani karibu na kambi ambayo imeshapigwa sana ya fifth fleet. Haijujulikana idadi ya majeruhi lakini kuna ruti nyingi za ambulances
Usiseme hakuna, katika dunia kisichowezekana ni kuishi milele tu, mengine yote yanawezekana, hakuna ulinzi kamilifu 100%Hakuna anaeweza kuharibu viwanda vya makombora Iran, hana haraka marathon haikimbiwi Kama mita 100, kampuni zote zilizohusika na kuchangia mauaji ya makamanda wa Iran kuanzia kesho zinaanza kupukutishwa na wameambiwa kabisa hivyo Kama Wana ubavu wazuie hivyo hisa za boeng, Microsoft, Tesla, Intel, Nvidia etc uza mapema
Ngoja tuone, maana kuna muda naona strategy yake inachelewesha, labda anataka kutumia hormuz kwa faida zaidiIran hajawahi kusimama tokea vita ianze mashambulizi karibia kila siku anasha.bulia mwendo wa timing juzi Iran alipiga Industry zone ya Myahudi yenye viwanda zaidi ya tisini, jana kapiga Haifa kuanzia Refinery, Bandari, Navy na Food Depot zote zilipigwa. Iran hajawahi kutaka mazungumzo na mtu yoyote, japo ukiangalia kwenye vikao vya UN Security Council,US wanajitia wajanja ila Iran wameshasema tokea mwanzo wataacha vita kwa terms na mda wautakao wao.
Juzi kabiga kambi ya US Saudi kaharibu ndege kama tano ( tatu refuelling aircrafts na mbili ni ndege zitumikazo kama radar ya angani hii moja kwa mujibu wa Kanali aliyekuwa akihojiwa CNN gharama ya ndege moja ni USD 700m),jana akapiga kambi Iraq,Bahrain na Jordan.
US anahangaika sasa hivi atafuta maeneo mengine ya karibu ,ili kupunguza umbali wakati akishambulia,kwani middle east kambi zake nyingi zimepigwa, Italy na Spain wamemkatalia kutumia anga zao na kambi zao. Sasa hivi kawaomba Poland Patriots , anataka ikakae maeneo ya West Asia naona napo anataka kuweka ndege zake za mashambulizi ila Poland kakataa.
View attachment 3565327
Ukitaka kujua mashabulizi ya Iran,fuatilia WION,Hindustan Times na Times of India.Leo hii tena UAE kuna kambi ya US kailipua, inasemekana kulikuwa na makamanda kama 200,japo kama kawaida yao US hawaja confirm ila mzigo ulitua.
Lisaa limoja lilopita Iran karusha mabomu Tel Aviv.
Sizani huaga na ziangalia zile Mesile za Iran zinavyotoka chini ya milima, hii ngoma si ya leo wala kesho,tena kwa hili la kuwaomba Poland Patriots, inaonekana kabisa US anaelekea kuishiwa na Interceptors na Interceptors zinatengenezwa kwa orders, hapo ndipo kwenye ugumu,anga zote middle east zipo kama chujio.Ngoja tuone, maana kuna muda naona strategy yake inachelewesha, labda anataka kutumia hormuz kwa faida zaidi
Ngoja tuoneSizani huaga na ziangalia zile Mesile za Iran zinavyotoka chini ya milima, hii ngoma si ya leo wala kesho,tena kwa hili la kuwaomba Poland Patriots, inaonekana kabisa US anaelekea kuishiwa na Interceptors na Interceptors zinatengenezwa kwa orders, hapo ndipo kwenye ugumu,anga zote middle east zipo kama chujio.
Ukimuua huyo waziri unapata faida gani?MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Pentagon imechapisha picha za ziara isiyotangazwa ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, katika kambi ya Al Udeid Air Base nchini Qatar, kambi kuu ya kijeshi ya Marekani Mashariki ya Kati.
Mimi
Ina maana Iran haikuwa na taarifa za kijasusi kwa ziara hii ambayo ilikuwa ni nafasi nzuri ya kulipa kisasi?. Basi husemi wangu unazidi kuthibitika kwamba Iran kwa ujasusi ni ziro (O).View attachment 3565338
Hadi sasa anayelia ni US.. neno ''Hormuz' na 'mazungumzo' hayakauki mdomoni mwa Trump, hivyo inaeleweka nani anaumia..Ngoja tuone, maana kuna muda naona strategy yake inachelewesha, labda anataka kutumia hormuz kwa faida zaidi
Dah!Iran hajawahi kusimama tokea vita ianze mashambulizi karibia kila siku anasha.bulia mwendo wa timing juzi Iran alipiga Industry zone ya Myahudi yenye viwanda zaidi ya tisini, jana kapiga Haifa kuanzia Refinery, Bandari, Navy na Food Depot zote zilipigwa. Iran hajawahi kutaka mazungumzo na mtu yoyote, japo ukiangalia kwenye vikao vya UN Security Council,US wanajitia wajanja ila Iran wameshasema tokea mwanzo wataacha vita kwa terms na mda wautakao wao.
Juzi kabiga kambi ya US Saudi kaharibu ndege kama tano ( tatu refuelling aircrafts na mbili ni ndege zitumikazo kama radar ya angani hii moja kwa mujibu wa Kanali aliyekuwa akihojiwa CNN gharama ya ndege moja ni USD 700m),jana akapiga kambi Iraq,Bahrain na Jordan.
US anahangaika sasa hivi atafuta maeneo mengine ya karibu ,ili kupunguza umbali wakati akishambulia,kwani middle east kambi zake nyingi zimepigwa, Italy na Spain wamemkatalia kutumia anga zao na kambi zao. Sasa hivi kawaomba Poland Patriots , anataka ikakae maeneo ya West Asia naona napo anataka kuweka ndege zake za mashambulizi ila Poland kakataa.
View attachment 3565327
Ukitaka kujua mashabulizi ya Iran,fuatilia WION,Hindustan Times na Times of India.Leo hii tena UAE kuna kambi ya US kailipua, inasemekana kulikuwa na makamanda kama 200,japo kama kawaida yao US hawaja confirm ila mzigo ulitua.
Lisaa limoja lilopita Iran karusha mabomu Tel Aviv.
Mpaka sasa Iran imeangamiza viongozi wangapi wa US na Israel ambao hata media km Al jaazira weme fomfimed ?Sizani huaga na ziangalia zile Mesile za Iran zinavyotoka chini ya milima, hii ngoma si ya leo wala kesho,tena kwa hili la kuwaomba Poland Patriots, inaonekana kabisa US anaelekea kuishiwa na Interceptors na Interceptors zinatengenezwa kwa orders, hapo ndipo kwenye ugumu,anga zote middle east zipo kama chujio.
Kwa kuangamiza viongozi ndio kushinda? Iran sio Hamas, angalia hata mijadala CNN kuna la kujifunza wanavyo usifia mfumo wa uongozi wa Iran.Mpaka sasa Iran imeangamiza viongozi wangapi wa US na Israel ambao hata media km Al jaazira weme fomfimed ?
Kipaumbele cha iran sio kuuwa viongozi. Kipaumbele cha Iran ilikuwa ni kulipua base zote za marekani zilizopo mashariki ya kati na kuufunga huo mlango wa bahariMpaka sasa Iran imeangamiza viongozi wangapi wa US na Israel ambao hata media km Al jaazira weme fomfimed ?