Mkuu Pro_Israel wengi ni mashabiki oya oya .Ukiwa na ushabiki wa Simba na yanga kuhesabu mabomu na vitisho huwezi elewa kwanini watu wanasema Iran anashinda.
There is a reason kwanini Analyst, viongozi mbalimbali wa west, majasusi na wengine wanaoelewa vita wanasema Iran anashinda. Huhutaji hata kusikiliza pro Iran, sikiliza Mossad, CIA, Uingereza etc wote kwa pamoja Wana view hio.
Trump kakurupuka angesikiliza ushauri wa Jeshi lake haya yote yasingemfika.
Utasikia mtu anaandika kama mlevi 'piga hao wafuga midevu na majini ' unasoma comment hadi unasikitika kuhusu uelewa wa muandika comment.Mkuu Pro_Israel wengi ni mashabiki oya oya .
Ukimwambia msikilize watu wazito , CIA na international analyst wakifanya uchambuzi ni ngumu maana akili zao zipo kwenye kutazama matukio tu kapigwa Fulani wameshangilia ila kufikiria inbox , kuchanganua na kuPredict mambo hawana upeo huo.
NaiEnjoy sana humu nikisoma chambuzi za Pro_Iran unajua kabisa akili na shule ipo na mambo mengi waliyotabiri tokea day one yametimia . Pro_Israel hawezi kutenga muda hata wa nusu saa kusikiliza podcast za wabobezibwa sasa za kimataifa kujua wataalamu wanasema nini kusuhu upepo wa vita na yanayoendelea
Kuinuka itainuka tu na atalikuta li nchi lako liko palepale kujenga matundu ya vyoo, kujenga vyoo vya stendi na kusikiliza kero ZILEZILE za tangu uhuruIran hainuki tena
Baada ya hii vita China itaisaidia Iran kurudi kuwa kama ilivyokuwa awali, itajengwa pengine vizuri zaidi kuliko awali, pia watapata vifaa zaidi vya kivita toka Russia na China kuliko hata awali, Israel isitegemee tena kuja kufanya mistake wakati ujao.Iran hainuki tena
Wahakikishe tu BEBERU USA HAIINGII KAMA KULE VENEZUELABaada ya hii vita China itaisaidia Iran kurudi kuwa kama ilivyokuwa awali, itajengwa pengine vizuri zaidi kuliko awali, pia watapata vifaa zaidi vya kivita toka Russia na China kuliko hata awali, Israel isitegemee tena kuja kufanya mistake wakati ujao.
Mtu anaona kuua viongozi ndio ushindi wanashangilia vifo wakati huku hata kina Lukuvi wanakufa na pressure na yeye mwenyewe anaweza kufa kwa cholera au kugongwa na toyo!Utasikia mtu anaandika kama mlevi 'piga hao wafuga midevu na majini ' unasoma comment hadi unasikitika kuhusu uelewa wa muandika comment.
Ukiwasikiliza watu kama kina prof Marandi, Scott Ritter, George Galloway n.k unapata upeo mkubwa kuhusu hii vita.
Operation kwenda kumteka Maduro ilimpa tamaa zaidi Trump ya kuivamia Iran ili kumpa political mileage, aliona ataandikwa katika historia ya US kama rais aliyefanya makubwa, sasa amekuwa kituko.Wahakikishe tu BEBERU USA HAIINGII KAMA KULE VENEZUELA
Kama Mojtaba, ni hatari kuliko hata Khamenei, Khamenei angekuwepo angeshaingia mazungumzo ili kulinda raia wake.Mtu anaona kuua viongozi ndio ushindi wanashangilia vifo wakati huku hata kina Lukuvi wanakufa na pressure na yeye mwenyewe anaweza kufa kwa cholera au kugongwa na toyo!
Targeted assassinations hazijawahi kuleta faida kokote
Mondlane aliuawa na makaburu, Samora akaendeleza vita mpaka Mozambique wakapata uhuru,
Maj Gen Rwigyema hapo Rwanda, Kagame akaendeleza vita
Col John Garang wa South Sudan pia
Huko Palestina walianza kuwaua kina Abu jihad, Yahya the Engineer, George Habash , Sheikh Yasin, Ahmed Ratansi Yasser Arafat na mpaka hao kina Haniyeh na Sinwar wa juzi hapa lakini hakujapoa
Hezbollah alikuwepo Imad Mughniyeh kabla Nasrallah na hakujapoa
Hao wanakwambia kwenye motto yao
“We were in nonexistence before our birth” yaani tulikufa kabla hatujazaliwa
Leo hii unashangilia kumuua Khamenei mwenye miaka 86, living on borrowed time
Makamanda wa IRGC walioawa wote ni around 70s, maveteran wa Iran vs Iraq war 1980-88, wameuawa lakini urithi waliouacha ndio huo kina Trump wanabembeleza waongee nao
Wanadanganywa na Trump kuwa Iran wameishiwa missiles, leo huko Tel Aviv hakuna kulala kwa mvua ya missiles na waandishi wa habari wapo ground wanathibitisha