Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Jeshi la Israel: Tumefanikiwa kumuua general Jamshidi Eshaghi. Alikua mkuu wa kitengo cha fedha na bajeti cha jeshi pia mkuu wa logistics ya mafuta
 
Itakuwa imekugusa mbona jamaaa kanyooka sana katoa na mifano!!!

Naunga mkono hoja japo sijamuelewa kuhusu kipenz chetu Rais wetu Samia Suluhu Hassan !!

mimi najua kiongoz wetu hana zambi yoyote kwasababu yoyote.✍️😎😎
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA TRUMP πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯


β€œDaraja kubwa zaidi nchini Iran linaanguka na kuharibiwa kabisa, halitatumika tena β€” Mengi zaidi yanakuja! NI WAKATI KWA IRAN KUFANYA MAKUBALIANO KABLA HAJACHELEWA SANA, LA SIVYO HAKUTAKUWA NA KILICHOSALIA CHA NCHI AMBAYO INGEWEZA KUWA KUBWA! Rais DONALD J. TRUMP.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…