City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Ni dalili tosha za kushindwa kwa Israel..💥💥💥💥
Muonekane wa kabla na baada wa daraja la B1 Karaj. Linalounganisha Karaj na Tehran.
Hili ndio daraja refu masharakiki ya Kati, lakini leo limeshambuliwa kwa makombora na Israel
View attachment 3566518
Wakatoliki hatuna huo ujinga wa kushabikia vitu vya kionevu.Ni kwa wewe hauna upande unasimama kwa ukweli. Ila wakatoliki wenzako wengi wanaamini Iran inatakiwa kupigwa ili kukamilisha maandiko ya unabii kwenye biblia. Hili suala wenzako wakristo wamelichukulia kidini sana,sio wote bali asilimia kubwa.
Inafikia hatua wapo wenzako wanaosema watoto wa Gaza halali kuuliwa ili wasilete upinzani baadae. Hajui kama wapo waarabu wakristo ambao wanauliwa pia.
Jamaa point alizoongea yupo SAHIHI 100%.
Kuna wajinga wachache wanaleta udini.We nani
We nani kakwambia pro iran wote ni waislam
Acheni udini, washamba nyinyi
Ndo maana regime change inaweza isifanikiwe kabisa!💥💥💥💥
Muonekane wa kabla na baada wa daraja la B1 Karaj. Linalounganisha Karaj na Tehran.
Hili ndio daraja refu masharakiki ya Kati, lakini leo limeshambuliwa kwa makombora na Israel
View attachment 3566518
Hivi nyinyi Pro USA huana akili Gani?Kuna viashiria vingi mno vinavyoonesha US ipo mbali mno kwa zana za kisasa za kijeshi, ni vile tu mashabiki wa Iran wanajitoa ufahamu.
Naomba tusiingie kwenye Imani za watu jamani.Wataletewa mafuta na yesu na roho mtakatifu
Kuweka habari sawa haijawahi kutumika Hilo daraja, B1 bridge ndio linajengwa linakaribia kukamilika, Ila Lina hadhi kwamba ndio daraja refu zaidi middle East likikamilika.Ndo maana regime change inaweza isifanikiwe kabisa!
Sasa daraja ambalo watu wa kawaida hulitumia linahusikaje na mambo ya kijeshi?
Israel na Marekani ni kama vile wanataka tu kuiharibu Iran na hawana lengo la kuwasaidia wananchi wa Iran.
Huwezi kusema unataka kuwasaidia wananchi wa Iran halafu papo hapo unaharibu miundombinu ambayo watu hao hao huitumia!
Huwezi kusema unataka kuwasaidia wananchi wa Iran halafu papo hapo unapigiga makombora kwenye shule ya watoto na kuua watoto zaidi ya 100!
Na ndo maana naamini kwamba wananchi wengi wa kawaida wa Iran hawaupendi utawala uliopo lakini pia hawaungi mkono hii vita inayowaharibia nchi yao.
Ukiona kuishiwa ndo huko sasa!Kuweka habari sawa haijawahi kutumika Hilo daraja, B1 bridge ndio linajengwa linakaribia kukamilika, Ila Lina hadhi kwamba ndio daraja refu zaidi middle East likikamilika.
So habari kwamba lilikua zinatumika kusafirisha missile ni fake news za Trump za kila siku, Daraja lenyewe ni shortcut Tu chini yake kuna barabara kibao, mfano wake ni kama Tanzanite Bridge na Salender
Siku nyingine wewe,Trump na mwenzio Echolima mnatuambia Iran wanafanya mazungumzo na USA,siku nyingine mlituambia Iran amekubali masharti ya Iran ameomba vita iishe,leo wewe na Trump mnatuambia Iran inatakiwa ifanye makubaliano kabla hajachelewa sana..Jamani! Hamuoni kama nyie watatu ni mazwazwa na ndio maana watu wanawapuuza? Mlishasema Iran kashaomba majadiliano na kakubaliana na nyie leo mnasema anatakiwa akubali mazungumzk😃tuwaeleweje?MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA TRUMP 🔥 🔥 🔥 🔥
“Daraja kubwa zaidi nchini Iran linaanguka na kuharibiwa kabisa, halitatumika tena — Mengi zaidi yanakuja! NI WAKATI KWA IRAN KUFANYA MAKUBALIANO KABLA HAJACHELEWA SANA, LA SIVYO HAKUTAKUWA NA KILICHOSALIA CHA NCHI AMBAYO INGEWEZA KUWA KUBWA! Rais DONALD J. TRUMP.”View attachment 3566508