Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,711
- 19,296
HUNA hata unalolijua.Huna akili huyo Iran ndio financier wa Muslim Brotherhood kikundi chenye malengo ya kuitawala Dunia chini ya sheria za kiislam
Ndio maana hukuwahi kuona maandamano ya FREE PALESTINE Saudi Arabia au Dubai kwasababu hiyo movement ilikuwa supported na Muslim brotherhood chini ya Iran.
Tafuta hii interview ya MBS akiwaongelea Iran Iko YouTube acha kusikia taarifa kijiweji

You do lack facts.Then what ?
Iran ashaanza kulialia kuwa yahudi anaua watoto wa shuleπ€£ππ₯π₯π₯π₯
Dozens of Fitghter jets za Israel sasa zinaendesha .mashambulizi ndani ya Iran
Umeripoti hata taarifa mbili za Israel kupigwa?π₯π₯π₯π₯
Video footage: Israel inashambulia kwa makombora eneo la Zanjan. Milipuko mikubwa
kahaba iran yupo uchi wa mnyama myahudi anajipigia tu matundu yote kwa kadiri anavyotaka π€£π
Nani kakuambia hawahusiki!?Kwa nini? Dubai si hawahusiki?
Katika watu ninaowafatilia hapa ni wewe mkuu ila usibase upande mmoja leta pande zote mbili ππΎπ₯π₯π₯π₯
Video footage: israi inashambulia kwa makombora eneo la Zanjan. Mlipuko mkubwa
Dubai mbona haina tatizo na Iran, pia hakuna kambi ya marekaniNani kakuambia hawahusiki!?
Kwani haukufuatilia ilichosema Iran itafanya endapo itashambukiwa na USA?
Naleta pande zote, fatilia vizuri.Katika watu ninaowafatilia hapa ni wewe mkuu ila usibase upande mmoja leta pande zote mbili ππΎ
Mkuu nani anasambaza CocaineπUSA wakimalizana na Muajem waje hapa Tanzania kuna mtu aliua watu Oct 29, 2025 bila sababu na sasa anasambaza cocaine duniani
Jaribu kufatilia vizuri, tatizo huwa mna jazba.Umeripoti hata taarifa mbili za Israel kupigwa?
Duh! Vita siyo nzuriNiko bize na kilimo ndugu yangu,kutwa shambani
Waajemi washaporomosha ndege ya mzayuni huko