christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,333
- 5,490
Atakuwa mkubwa kivipi wakati akianza tu kujijenga wanamvamia tena. Hivi mnafahamu athari za vita au mnaongea kishabiki? Uaribifu alifanyiwa Irani had sasa ni sawa na mtu alivunjwa mikono. Marekan na Israel kwa sasa wanaweza kufanya chochote ndani ya Iran sababu udhibiti wa anga hana ni vile tu Trump anataka apige dili la mafuta, wewe subiri huo muda aliotoa Trump upite uone watachofanya Marekani ni kuharibu tu bora wakose wote.Hii vita ndio ya mwisho Israel na Marekani kuiangamiza Iran kushindwa kwao sasa basi Iran itajimilikisha rasmi ubabe wa mashariki ya kati kama ilivyo kwa U.S, Russia,China na Iran itaingia rasmi katika league hiyo kila taifa litajimegea rasmi eneo lake/ukanda wake rasmi wa kuonesha ubabe.
Kwa sababu vita viki kamilika bila Iran kuangamizwa nchi ya Iran itaibuka na nguvu maradufu tofauti na ilizo nazo sasa, nguvu katika sekta zote.
Kwa ufupi hii vita Marekani na Israel kushindwa kutimiza malengo yao yatamtengeneza Iran kuwa mkubwa zaidi ya sasa.
Sijaona popote hata sky news Sijaiona!!
Huna AkiliAtakuwa mkubwa kivipi wakati akianza tu kujijenga wanamvamia tena. Hivi mnafahamu athari za vita au mnaongea kishabiki? Uaribifu alifanyiwa Irani had sasa ni sawa na mtu alivunjwa mikono. Marekan na Israel kwa sasa wanaweza kufanya chochote ndani ya Iran sababu udhibiti wa anga hana ni vile tu Trump anataka apige dili la mafuta, wewe subiri huo muda aliotoa Trump upite uone watachofanya Marekani ni kuharibu tu bora wakose wote.
Acha uongo hao wayahudi 6,500 waliojeruhiwa hakuna popote walipo and ikiwa na sijui hizo figure Una zip atoa wapi kudanganya watu!!Cluster warhead hits central Israel - as figures reveal more than 6,500 Israelis injured since start of war
In the last 24 hours, 148 people have been taken to hospital as a result of the war with Iran, the Israeli health ministry says.
10:22
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Unahisi nimetunga??
wafia demokrasi wanasemaje katika hilo la kurudisha nchi nyingine stone age?Atakuwa mkubwa kivipi wakati akianza tu kujijenga wanamvamia tena. Hivi mnafahamu athari za vita au mnaongea kishabiki? Uaribifu alifanyiwa Irani had sasa ni sawa na mtu alivunjwa mikono. Marekan na Israel kwa sasa wanaweza kufanya chochote ndani ya Iran sababu udhibiti wa anga hana ni vile tu Trump anataka apige dili la mafuta, wewe subiri huo muda aliotoa Trump upite uone watachofanya Marekani ni kuharibu tu bora wakose wote.
Iran hata rudi tena Kama alivyo kuwa Kama huamini waulize Afghanistan,Iraq na Libya watakuambia ukweli ulivyo!!!wafia demokrasi wanasemaje katika hilo la kurudisha nchi nyingine stone age?
wafia magharibi mashida sana aiseeIran hata rudi tena Kama alivyo kuwa Kama huamini waulize Afghanistan,Iraq na Libya watakuambia ukweli ulivyo!!!
Iran hata rudi tena Kama alivyo kuwa Kama huamini waulize Afghanistan,Iraq na Libya watakuambia ukweli ulivyo!!!
Mimi sio mtaalamu kabisa wa hizi mambo za ruti za mafuta,ila nitachangia kidogo kukufahamisha kwa lugha nyepesi sana,naamini baada ya hapo utaweza kuchakata na kupata uelewa Zaid.Kwanini Hormuz inayopitisha 20% ya mafuta duniani imeleta athari kubwa namna hii??
80% zinapita wapi??
Dunia yote inalalamika je kusema Hormuz inapitisha 20% tu ya nishati ni data za upikaji?? Kwa maana inawezekana hormuz inapitisha zaidi ya 20%???
Nilichojifunza kitu ni kwamba Air defence hazina uwezo wa kushoot vitu vinavyotembea at low altitude, so hizo Hellcopter zinapita sababu hio, same issue kwanini Drones za Hezbollah za low altitude zinapigwa na Hellcopter na sio Air defence.
Kuepuka gharama kupopoa kwa ndege haina gharama sanaNilichojifunza kitu ni kwamba Air defence hazina uwezo wa kushoot vitu vinavyotembea at low altitude, so hizo Hellcopter zinapita sababu hio, same issue kwanini Drones za Hezbollah za low altitude zinapigwa na Hellcopter na sio Air defence.
Vinavyo ruka umbali wa chini ID hazina uwezo wa kuzitungua hata rada haziwezi kuziona mara nyingi huwa zinatunguliwa na makombora ya kubeba mabegani.Nilichojifunza kitu ni kwamba Air defence hazina uwezo wa kushoot vitu vinavyotembea at low altitude, so hizo Hellcopter zinapita sababu hio, same issue kwanini Drones za Hezbollah za low altitude zinapigwa na Hellcopter na sio Air defence.