Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Kuweka rekodi sawa husseyn radhi za Allah ziwe juu yake aliuwawa na haohao mashia waliomuandikia barua.Imam Hussain ni mjukuu wa Muhammad SAW kupitia binti yake Fatma na Ali, Caliph wa Nne
Walizaliwa wawili, Hussein na Hassan
Kwa imani ya madhehebu ya Shia, Uongozi wa Uislam ulipaswa kufuata familia ya Muhammad SAW yaani Ahlul Bayt, the first house
Caliphate zote kuanzia ya kwanza ya Abu Bakar, Omar mpaka wakati wa Caliphate ya Othman, familia ya kina Ali hawakuzikubali kwa sababu waliona hazikutoka kwenye familia, ndiyo chanzo cha Sunni (wanaomfuata Mtume) na Shia (wafuasi wa Ali)
Othman aliuawa na ukoo wa Kharijites, uongozi wa Uislam ukaenda kwa Ali na kuwa Caliph wa nne (na Imam wa kwanza wa Shia) ambaye naye aliuawa
Baaada ya kufa kwa Ali uongozi ukaenda kwa Hassan, mtoto wa Ali, kuwa Khaliph wa Madina (Imam wa Pili wa Shia) ila akaamua kuachia ukoo wa Muawiyaa, au Umayyad.
Hussein hakukubali akaamia Kufa, Iraq ili kuendeleza mapambano akiupinga utawala wa kidikteta wa Yazid Muawiyya na akawa Imam wa 3 wa madhehebu ya Shia akitawala kutokea Iraq
Wanaume wakamuita aje apambane na hiyo Umayyad dynasty maeneo ya Kufa ila hakufika akapigwa siege maeneo ya Karbala wakapigana vita na Hussein akauwawa baada ya kuzidiwa na majeshi ya Muawiyya/Umayyad
Hapo ndio ile concept ya martyrdom (kufa shahidi) inapotokea kwa Hussein kukubali kufa kuliko kuwa chini ya utawala wa Yazid Muawiyya kama alama ya uzalendo na kupinga utawala wa kidikteta kama ilivyo kwa wapalestina wa leo na kauli wanayotumia Iran kupinga aggression ya US/Israel
Iran ndiyo inaongoza kuwa na waIslam wengi wenye madhehebu ya Shia, hivyo kwao kila kitu kuhusu Hussein kinatukuzwa sana.
Hata Tz, madhehebu ya Shia huwa wanaadhimisha hiyo martyrdom yake siku ya Ashura wanavaa nguo nyeusi, wanaandama na wanatoa damu mahospitalini kama ishara ya kuenzi damu ilomwagika wakati wa kifo cha Hussein
Islamic Revolution ya 1979 ikatumia sana hiyo history kama synonymous na mauaji ya Imam Hussein, Karbala kuendeleza itikadi ya Shia
Supreme Leader, Ayatollah Khomeini, kabla ya huyu Ayatollah Khameneni ni direct descendant wa Imam Hussein kwa generations zaidi ya 25 nyuma ndiyo maana alikuwa anasikilizwa na waIran kwa level ya Imam au Caliph wa Shia
Ndio maana Iran wanajiita Nation of Imam Hussein na kauli kama hizi
“ If we feared death, we would not have entered this war, nor would we have offered our finest men as martyrs. Death is an honor for us as we defend our homeland...better than dying subjugated to you, with our homeland under your guardianship and rule.
We were born free, and we will die free. We will not submit to child rapists, blood merchants and oppressive rulers." - Abbas Arragchi, FM
Halafu ukishangaa amechaguliwa uraisi, hawa ndio waliomchangua
Suala la raia wengi kuuchukia utawala wa nchi hiyo umekaa kipropaganda zaidi na propaganda hiyo imepewa nguvu na vyombo vya habari vya kimagharibi.Ground invasion itafanikiwa vipi kama tu raia wa kawaida wamejiandaa kuwakabili na wanasakanya kila mahali mlipo hapa bado sijagusia wanajeshi rasmi wenye mafunzo.
View: https://x.com/i/status/2040127680780157428Ni kipi kilicho waaminisha wa Marekani kuwa asilimia kubwa ya Wairan wapo upande wao na watawapokea kwa nderemo na vifijo ?
OHB11 hearly Khaibar baba-mwajuma ITR and 100 others
Bila shaka maana reaction ya Wairan imekua tofauti kabisa na jinsi mambo yalivyokua yanakuzwa si ajabu kuona Marekani na Israel kuchanganyikiwa na kuanza kulenga miundombinu ya kiraia kama wendawazimu.Suala la raia wengi kuuchukia utawala wa nchi hiyo umekaa kipropaganda zaidi na propaganda hiyo imepewa nguvu na vyombo vya habari vya kimagharibi.
As far as I understand ukiwasikiliza viongozi wa USA kama Ex CIA na wafananiao intel zao ni kwamba Regime change ilikua ni unlikely, sababu Serikali bado ina support ya watu.Ground invasion itafanikiwa vipi kama tu raia wa kawaida wamejiandaa kuwakabili na wanasakanya kila mahali mlipo hapa bado sijagusia wanajeshi rasmi wenye mafunzo.
View: https://x.com/i/status/2040127680780157428Ni kipi kilicho waaminisha wa Marekani kuwa asilimia kubwa ya Wairan wapo upande wao na watawapokea kwa nderemo na vifijo ?
OHB11 hearly Khaibar baba-mwajuma ITR and 100 others
Mfupa umekua mgumuAs far as I understand ukiwasikiliza viongozi wa USA kama Ex CIA na wafananiao intel zao ni kwamba Regime change ilikua ni unlikely, sababu Serikali bado ina support ya watu.
Hata huyu jamaa aliyejiuzulu juzi anaita ni vita ya kipumbavu,
So collectively watu wanaojielewa huko USA ni kama Sisi Tu wanajua fika ni vita isiyowezekana.
View attachment 3566963
Ila Trump kashikwa Akili na Netanyahu, inshort kategwa, Bibi kamwambia kwamba Regime change ni faster Tu wanapiga na Serikali inatolewa, Trump si unajua MTU wa misifa kaingia line sasa hajui anajitoaje.
Ukisikia vichekesho sasa ndo hivi, peace talk Ila hakuna USA wala Iran kwenye mazungumzo.BREAKING:
Iran rejects all U.S. demands and refuses to meet with American officials in Pakistan.
Iran has officially told mediators it is not willing to meet US officials in Pakistan in the coming days and the US demands are "unacceptable," per WSJ.
Details include:
1. The current round of efforts to reach a cease-fire has reached a "dead end," mediators said
2. Turkey and Egypt are still pushing to find a way forward and are considering new venues for the talks
3. Potential new venues for talks include Doha or Istanbul
4. Mediators are attempting to come up with "fresh proposals" to overcome the deadlock
Kulenga miundo mbinu ya kiraia ni hasira za kushindwa kufikia malengo.Bila shaka maana reaction ya Wairan imekua tofauti kabisa na jinsi mambo yalivyokua yanakuzwa si ajabu kuona Marekani na Israel kuchanganyikiwa na kuanza kulenga miundombinu ya kiraia kama wendawazimu.
Mimi niliogopa aibu anazopata USAi kipindi kuanzia form 2 mpaka form 3 nilikuwa super power mtaani , mtaa wetu ulikuwa full ubabe mavi ukiwa mnyonge unaonewa kindezi sana .Kweli vita sio movie Mkuu
Ndio maana vita waliyosema USA na Israel kuwa itakuwa ya siku Nne now inakata mwezi mzima bila kuisha na bila ya malengo Yao yoyote kutimia bad enough Kila wakiomba
ceasefire Iran wanakataa Dunia inashuhudia dhahiri shahiri kuwa Israel nao wanachapika kupigwa ni kitu Cha kawaida tu Kumbe USA kambi zake kupigwa na Radar zake kulipuliwa ni kitu Cha kawaida tu Aircraft za USA kupigwa ni kitu Cha kawaida tu Unaambiwa Huo uwekezaji wa kambi za kijeshi zilizopo middle east zilizopigwa na Iran ni uwekezaji wa takriban miaka 50 na hakuna Nchi ambayo imewahi kuthubutu kuzipiga hizo ngapi tangu Japan walivyofanya hivyo wakati wa vita ya pili ya Dunia lakini Leo hii tumeona Iran akithubutu kuzikong'ota hizo base kama vile katoto kake kakukazaa
kweli vita sio movie Kama unavyosema kaka Leo hii Iran wamethubutu kufunga lango la Bahari la Hormuz USA wamebaki kubweka bweka tu wakati tuliaminishwa kwamba ndio wababe wa Dunia Wameshindwa kufanya lolote ili kuzuia Iran wasiufunge mlango wa bahari wa Hormuz ,kweli vita sio movie kaka Leo hii Kwa macho yetu watu wote tumeshuhudia USA ikipewa mkong'oto na maslahi yake kuguswa mpaka wana omba back kutoka NATO
ili wamchangie Iran na baada ya NATO kukataa USA imetushia kujitoa katika umoja huo mpaka maswali Yana Baki vichwani mwetu inakuwaje mpaka super power anashindwa kumpinga Iran peke yake Hadi waombe msaada wa mataifa mengine yaani Iran hii hii iliyowekewa vikwazo zaidi ya miaka 40s imewezaje kupiga base zote 27 za USA zilizopo middle east yaani baada ya kujiuliza maswali yote hayo mkuu nimejikuta nachukua uamuzi wa kukubaliana na wewe kwamba kweli vita sio movie Nimekuelewa vyema sana mkuu Au naongopa !? 😁😄😄
Now I can say I have seen a miracles yake yote tuliyo kuwa tunaaminishwa utotoni kwamba haiwezekani kumbe inawezekana Inawezekana kabisa USA maslahi yake kuguswa na wao kuchapika Tena na kanchi kalikowekewa vikwazo takriban miaka 45 na USA wenyewe 😄😄
Now even if I die I can die in peace
RRONDO mimi mwenyewe nilimkubali sana Trump, nashukuru wewe sio mmoja wa wale ambao hata kwenye ukweli wanakataa.Trump ni kichaa. Ni hatari taifa lolote kubwa kuwa na rais kama Trump.
New york times ndio wameripoti A-10 fighter jet imepigwa.Kuna taarifa ndege nyengine imeanguka huko Hormuz sijui ni kweli ?
Wairan wana ujasiri wa kijamii na kiutamaduni. Ni watu ambao wanasimamia kile ambacho wanakiamini ni haki zao na uhuru wao wa jamii kwa ujumla.Ground invasion itafanikiwa vipi kama tu raia wa kawaida wamejiandaa kuwakabili na wanasakanya kila mahali mlipo hapa bado sijagusia wanajeshi rasmi wenye mafunzo.
View: https://x.com/i/status/2040127680780157428Ni kipi kilicho waaminisha wa Marekani kuwa asilimia kubwa ya Wairan wapo upande wao na watawapokea kwa nderemo na vifijo ?
OHB11 hearly Khaibar baba-mwajuma ITR and 100 others
Trump anachojali hadi sasa ni ku manipulate masoko ya hisa, akikaa na familia yake na genge lake, anajua atazungumza kitu gani ili ku manipulate masoko ya hisa na waingize faida.