Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wakuu si tuliambiwa ndege za Marekani hazionekani kwenye Rada ingekuwaje zinatunguliwa kizembe ?

Kumbe Iran kasoma mchezo kajua weakness ya fighter Jet ya USA engine yake inazalisha heat , akaja na kombora linaloScan na kuSense heat fighter jet ikawa kwisha habari yao , ndege ambayo Mrusi alishindwa huko Ukraine Iran kaweza kutegua kitendawili cha kutoenekana kwenye Rada za kufungua makombora
 
Ninachowapendea Iran Jana japo wamefanya KAZI kubwa Sana kutungua hizo Ndege hawajasahau Ile Ibada yetu ya usiku miji 7 Israel Jana imepigwa na sehemu si chini ya 17 zimepigwa.

Pia kuna kitu kuhusu Rubani wa Jana si bure, Ndege kibao zimepigwa toka vita vianze why Rubani huyu wadispatch Hellcopter mbili na A10? Nazo zote zikaliwa kichwa? Na sasa Marekani wanaforce Iran wafuate Sheria za kimataifa Wasim treat vibaya mateka?
 
Hata Mimi nimesema Iran akichomoka kwenye hii vita atakuwa hatari zaidi ya sasa
 
Naona US kamuomba Iran Ceasefire ya masaa 48,Iran kamkatalia na jana karusha mabomu ya kutosha Tel Aviv na baadhi ya nchi za Middle.

View: https://m.youtube.com/watch?v=HA4j5hBQaXY

Safi kabisa Mazungumzo ni Trump mwenyewe kayatupa na kukumbatia Vita mtutu!!!!

Sasa Iranian walisema ngoja tuwaoneshe Vita vinakuwaje Vita!!!

Vita Ndio kwanzaa Asubui na Mapema.

Iranian inasababu za kiufundi kuendelea na Vita mojawapo
Ile Vita ya siku 12๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ

Baada ya Trump kurusha taulo kihesabu ya kijeshi wengi waliamini ni Israel ndio mzigo umemwelemea wa Vita.

Mana ukweli Trump ni kidampa tu wa Israel,,

Sasa Iranian kihesabu walijua Israel kwasasa imenyooka wataacha ujinga kwao!!!

Kumbe Israel halikuwa na mipango yake kwenye ile Vita!!!

Sasa yupo Uwanjani upya na Trump wake!!!!

Iranian kwasasa wanataka kumpa Israel Somo pevu ili wasije kujichanganya tena kwa wahuni!!!

So tutegemee kipondo kikubwa cha mwizi mwizi mwizi Kariakoo๐Ÿคœ๐Ÿ’ช

Israel ikisalimika basi Vita wataviogopa kwa miaka mingi!!

Wakisalimika kwenye hii Vita japo sioni wakisalimika mbele ya Mapacha w3 ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ

au utatu Mtakatifu kwa Walokole wa kunke๐Ÿค 
 
Wee unaambiwa na watu wasiopigana hata vita vya mikuki tu na wamasai aje ajulie vita ya ndege wapi zaidi ya propaganda tu.
We mtu kila siku anapost Tehran inapigwa utamuelewa kweli!
Kila siku moto mkubwa si pangelishapotea eneo lote!
 
Eti come closer ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Wee unaambiwa na watu wasiopigana hata vita vya mikuki tu na wamasai aje ajulie vita ya ndege wapi zaidi ya propaganda tu.
We mtu kila siku anapost Tehran inapigwa utamuelewa kweli!
Kila siku moto mkubwa si pangelishapotea eneo lote!
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Nimecheka Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ