Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mkuu embu acha kubishana na KILAZA unaharibu thread. Achana naye
 
Unafahamu Decentralized Mosaic doctraine!??
Kama Kuua viongozi wa Iran kuna faida je Israel imepata faida gani hadi sasa!??
 
Wewe kiazi usiropoke tu kama hujui.
Uongozi wa kishia una system ngumu ya succession.
Iran ina sect nne za jeshi ambapo humohumo ndani kuna viongozi wameandaliwa.
Kama ukitaka kuua uongozi wa kimapinduzi basi ua hizo sect nne za jeshi.
Tena kuna viongozi wengine wapo Iraq wakipewa wito tu wanarudi Iran kushika kijiti.
Na kwasasa nchi ipo chini ya jeshi ndio maana unaona vita inaendelea na jeshi imekataa kabisa mazungumzo.
Wewe kaa hapo ropoka .
 
Unafahamu Decentralized Mosaic doctraine!??
Kama Kuua viongozi wa Iran kuna faida je Israel imepata faida gani hadi sasa!??
Benjamin Netanyahu, he singlehandedly defeated AlIah in Syria.
he singlehandedly defeated AlIah in Lebanon.
he singlehandedly defeated AlIah in Jordan.
he singlehandedly defeated AlIah in Iran.
he singlehandedly defeated AlIah in Yemen.
he singlehandedly defeated AlIah in Gaza.
he singlehandedly defeated AIIah in all the parts of the world.

Benjamin Netanyahu is the Man who singlehandedly defeated AlIah throughout the world.
AlIah cannot stop him.
AlIah is afraid of him.
AlIah is trembling whenever he heard the name of Benjamin Netanyahu.
 
Delusional zako usiniletee hapa.
Kama una cha maana kilete tujadili.
-Why did Netanyahu lost 2006 Lebanese War??
-Why did Netanyahu lost 2025 June war against Iran?
-Why is Netanyahu lossing the current war against Iran!??

Unaweza kutugaia majibu??
 
Additionally Israel under Netanyahu oppresses christians in Tel Aviv,where is Jesus Christ to help them!??
Israel funds rebels in DR Congo killing even your fellow christians for bloody diamonds,where is Jesus Christ to stop Netanyahu!??
Such AN IMBECILE!
 
Halafu kuna mpuuzi mmoja anakwambia anga la Iran liko uchi. Amesahau kule israel kila siku wanafukua vifusi kutoa majeruhi wao sababu ya missiles za Iran
Unapoendeshwa na matamanio huwezi kuziona facts hata ziwe uchi wa mnyama.

Yani humu kuna watu wanatamani Israel ilipigwe na kuna wanataman Iran ipigwe matokeo yake wanacomment kitu kisicho na uhalisia kutokana na matamanio yao.
Kuna mtu alifika humu kitambo anadai vita imeisha na mfereji wa Hormuz unafunguliwa soon 😁😁😁
Hadi leo haamini kinachoendelea.
Iran wametamka wazi wanauwezo wakupambana na hao washirika wawili kwa kipindi cha miezi sita mfululuzo bila kuomba msaada kwa mshirika wao yeyote. 😁😁😁

Sasa kama mwezi mmoja athari ndio hizi vipi kuhusu miezi sita?
Na uzuri wa Iran yeye analenga zaidi maeneo ya kimkakati hasa kiuchumi sasa kama USA na Israel wataendelea kushupaza shingo nakuhakikishia regime change zitatokea nchini mwao.
Sasa wakati wanaendelea kutafuta wenzao waliodunguliwa alieenda kutoa backup nae kadunguliwa huko Iran 😁😁😁

Thank you for your attention to this matter 😁
 
Tuliaa Wewe kiazi
 
ngonjera za kutungwa hizo hapo πŸ˜€πŸ˜€,baada ya muda hamtaonekana humu
 
Kwa assassination hakuna anaebisha viongozi wa Iran wameuliwa wengi na wataendelea kuuliwa wenyewe wanafahamu,
Umewahi kujiuliza kwa upande wa pili wao wanaathirikaje na hii vita?
Hivi hujawahi kusikia mtu anapagawa hadi anatamani dunia ipasuke ili tumfukie? 😁
 
View attachment 3567501ngonjera za kutungwa hizo hapo πŸ˜€πŸ˜€,baada ya muda hamtaonekana humu
Baada ya muda gani?
Weka hoja kama unaendeshwa na matamanio it's Okay
Israel ndio inaathirika zaidi na kipigo kuliko Iran karibia raia wote wa Israel wana matatizo ya kisaikolojia kutokana na milio ya makombora lakini ndani ya Iran hadi leo kuna mahali hata mlio wa risasi haujasikika.
 
Wewe unaendeshwa na nini?
Wewe upo Iran?kwamba milio hakuna?unataka tukuamini wewe kwa kucoment matamanio yako hapa jf
 
Netanyau anaendeleza kipigo huko,nyie endeleeni kujazana ujinga na kupeana matumaini hewa humu
 
Watatudharau kwa kusema kuwa hatujui masuala ya kivita/Kijeshi kisa sio wabobezi eneo hilo.
Ila ukiangalia mwenendo wa vita hata kwa hizi facts ndogo ndogo unaona kabisa anayeumia ni USA/israel sababu mambo yanaenda tofauti na matarajio yao ya kuanzishwa hii vita.

-Mosi Israel/Usa karata yao kubwa ilikuwa mapinduzi ya raia baada ya kifo cha Khamenei, ila hali imekua tofauti kabisa.

-Kama wengi wetu humu wanavyosema lengo lingine la kuanzisha vita ni kufanya biashara ya silaha, basi Marekani amepata pigo kubwa sana sehemu hiyo maana Iran hanunui silaha kwake na zile za USA zimeonesha udhaifu mkubwa ambao hapo kabla haukujulikana na wanunuzi watarajiwa

-Mahitaji ya vita ya kisasa hayahitaji Carrier zenye gharama kubwa maana ni liability kwa drone na missile toka kwa adui

-Najua baada ya hapa, bila kujali vita imeishaje atajaribu kupigana vita nyingine moja (na mpinzani dhaifu) ili kurudisha heshima yake ila inategemeana na mtizamaji atalichukuliaje hilo

-Suala la kuwekeana vikwazo sasa linaenda kuota mbawa maana ushawishi wa marekani unaelekea ukingoni
Iran ameingia vitani kama underdog ila ametoa upinzani ambao umemdhuru pakubwa USA/Israel
 
Wee unaambiwa na watu wasiopigana hata vita vya mikuki tu na wamasai aje ajulie vita ya ndege wapi zaidi ya propaganda tu.
We mtu kila siku anapost Tehran inapigwa utamuelewa kweli!
Kila siku moto mkubwa si pangelishapotea eneo lote!
Jamaa wa milipuko mkubwa , I find this amusing tokea aanze kuripoti milipuko nilitegemea Tehran na Iran nzima iwe majibu now πŸ˜‚ πŸ€£πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…