Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Aliye kuambia kuwa Kila anayeishabikia Iran ni muislam ni ninani !? Ficha ujinga wako
Yaani! Wao wanajua kila aliye upande wa Iran basi huyo atakuwa ni Muislamu. Duh! 😲😲 Udini umewajaa.

Wengine tuko upande wa haki: hatupendi dhulma, hatupendi uonevu unaofanywa na US-ISRAEL. Tunasimama na Iran sababu ya udhalimu unaofanywa na US-ISRAEL.

Nimetoa comment hii baada ya kutoka kanisani, ibada ya saa nne asubuhi. Tumsifu yesu Kristu ndugu zangu.
 
kusini mwa Lebanon: makombora ya kupambana na vifaru, RPG, roketi, na bunduki za kushambulia yote haya yamekamatwa na wahusika kuuliwa

Hezbollah inaweka silaha zake ndani ya maeneo ya raia - na kuweka maisha hatarini.
 

Attachments

  • IMG_20260405_173329_520.jpg
    374.9 KB · Views: 13
  • IMG_20260405_173330_027.jpg
    190.3 KB · Views: 15
  • IMG_20260405_173330_142.jpg
    294.8 KB · Views: 14
vipi magharibi?
 
Msemaji wa jeshi la Iran.
Hakuna mateka aliyeokolewa, misheni ya US ilifeli wakakimbia wakipoteza ndege kubwa mbili na Herikopter 2. Wanadanganya kwa sababu vita hivi ni vita vya kisaikolojia.
Kwenye baadhi ya picha za mabaki ( kama sio AI) kuna mafuvu ya watu/mtu

Nani mkweli. Us au huyu mwamba ambaye huwa anatangaza kwa ujasiri ambaye bado hajawa located alipo na kutumiwa kiazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…