Huwezi kuwapangia maana wana mipango yao au wewe ni nani mpaka uwapangie cha kufanya? Au walipoanzisha mashambulizi huko uliwapangia?Okay sawa,
Pitisheni meli za mafuta sasa Hormuz Iran intelligence yao imeshaangamizwa tayari ππ
Nimesoma andiko lako likidai Iran kwasasa haina jeshi lolote, kwanini hadi leo ndege zinadondoshwa, Hormuz hapapitiki na Israel anapewa kichapo daily?Adui mkubwa wa Israel na Marekani si Mlango bahari wa Hormuz bali ni utawala w kiislamu wa Iran unaobwabwaja kila siku Kifo kwa Marekano, Kifo kwa Israel utawala huo ndiyo uliowafanya waingie vitani nao.
Suala la Mlango Bahari wa Hormuz si suala la Marekani na Israel tu bali ni la dunia nzima hivyo kufungua au kutofungua hilo ni suala jingine kabisa!!
Acha kujifariji-fariji na kujipa moyo!!Kwahiyo kumbe alikuwa akiwaatacks Jewish around the world,
Jewish si hawafagi mkuu πππ
Sindio hapo π€£Okay sawa,
Pitisheni meli za mafuta sasa Hormuz Iran intelligence yao imeshaangamizwa tayari ππ
π
Unaposema hadi leo ndege zinadondoshwa leo zimedondoshwa ngapi?Nimesoma andiko lako likidai Iran kwasasa haina jeshi lolote, kwanini hadi leo ndege zinadondoshwa, Hormuz hapapitiki na Israel anapewa kichapo daily?
π