City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Ameuwawa ndani ya Tehranπ₯π₯π₯π₯
Huyu ndio kamanda Asghar bakri ambae Netanyahu amaetangaza pia kuwa wamefanikiwa kumuua
View attachment 3568341
Waue hata milioni, Iran bado ina vichwa zaidi ya milion 50 vinavyoweza kushikilia nafasi hiyo tena kwa ufanisi mkubwa.Ameuwawa ndani ya Tehran
Huo ni uongoWaue hata milioni, Iran bado ina vichwa zaidi ya milion 50 vinavyoweza kushikilia nafasi hiyo tena kwa ufanisi mkubwa.
Huo ni uongo
Angekuwa navyo Israel na majirani wangekuwa wanatumiwa zaidi ya 10000 kwa sikuHuo ni uongo
Acha kuwa muongo. Hakuna jeshi linapenda kupoteza majenerali wake.Sasa ulidhani kama huyo angekufa kwa kugongwa na gari basi ndo ingefanya nchi ishindwe kwenda?.
Wairan wamejenga taasisi. Anakufa mtu anaingia mtu, simple like that.
Kafa Khamenei na nchi inaenda itakuwa huyo ofsa mdogomdogo?
π₯π₯π₯π₯
Jeshi la Israel: tumefanikiwa kumuua kamanda kamal malham pamoja msaidizi wake yahya Hussein pamoja na makamanda wengine wanne. Kamanda Kamal malham alikua kamanda mkuu wa divishen ya imam Hussein, alikua mhusika kwenye kupanga na kuratibu mashambulizi ya kurusha makombora, pia alikua na jukumu la ugavi kwenye vifaa vya jeshi
View attachment 3568345
Mkuu nimemnukuu tu anachosema Netanyahu. Kuhusu wao kulalaje hiyo sifahamuKwaiyo kwasasa tutegemee miji ya Israel kama Tela aviv Haifa watalala usingizi wa pono