Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari


Cut the Long story short.

Je Hoja ya wayahudi ni kuhodhi nusu ya maeneo uliyoyataja?.

Sababu ya Vita za Iran zinafahamika na kila mtu.
Hata sisi tulioko umurashaka tunajua.

unahis kuna sababu nyingne nje ya hizo?.

Hamas , na Hezbollah zinapigana na Israel miaka na miaka. Nadhan unajua.
silaha na nguvu nadhan unajua zinapotoka.
 
Cut the Long story short.

Je Hoja ya wayahudi ni kuhodhi nusu ya maeneo uliyoyataja?.

Sababu ya Vita za Iran zinafahamika na kila mtu.
Hata sisi tulioko umurashaka tunajua.

unahis kuna sababu nyingne nje ya hizo?.
Sasa wewe unajua kuliko General Clark?
Au unajua kuliko mkuu wa kitengo cha Counterterrorism Warranty Officer Kent? Maana hawa hawajui na maafisa wa ngazi za juu kwenye vyombo vya ulinzi, wanaaccess na information zote za nyeti za maswala ya ulinzi za US na NATO.

Kwangu mimi based ya hizo interview nilizo kuwekea sababu ninayo iona ni ubabe wa Myahudi kutaka kumega ardhi za watu na anamuona Iran kama kikwazo kama ilivyo kwa Iraq na Sadam kwake nae aliona ni kikwazo wakazusha ana Weapons of Mass Destruction ila baada ya vita Blair alikuwa anajilaumu sababu walipata taarifa za uongo kwani Iraq hakuwa na silaha hizo.

Maana huyo PM Naftali anakwambia Qatar na Turkey wanahatarisha usalama wao na wewe unaamini? au hawa nao wanawasaidia Hezbollah na Hamas.
 
Weee Kenge mweusi usitudanganye.
Iran na Israel walikua marafiki hadi kufikia 1995 Netanyahu alipoanza espionage dhidi ya Iran,baada ya kuiona Iran inaanza kujitegemea kisilaha na kiuchumi.
Kabla ya hapo walikua marafiki na hadi Israel alimsaidia Iran kijeshi mwaka 1980-1988 vita dhidi ya Iraq.
Mchokozi ni Israel ndio maana hata wazungu washaanza kumkataa. Hispania wana akili na wana uelewa kuliko wewe juu ya mzozo wa Israel. Unadhani hawajui kama sakata la Iraq 2003 Israel nao wanahusika??
 
Usichokijua Iran kamwe haiwezi kuzorota. Wana sect nne za jeshi na ndani ya hizo sect wanajiendesha kimaamuzi na kifedha. Pia katika hizo sect nne za jeshi wana uwezo wa kutoa viongozi wa kuendesha nchi.
Kadri wanavyozidi kuua viongozi wanawafanya Iran wazidi kuwa wagumu zaidi na kuendesha vita zaidi.
 
Kama hiyo uranium bado ipo Natanz basi nitazidi kuwadharau sana hao Waajemi!
 
Chanzo cha hizo cold war ni nini??
Hivi unajua espionage anazofanya Israel dhidi ya Iran ni sawa na zile alizofanya 1960 dhidi ya Syria na Lebanon??
Beirut na Damascus crisis MOSSAD are the one behind.
 
Sidhani kama hata anajua Hamas iliundwa na hao hao Mossad ili kuivunja nguvu PLO 2004-2005.
Hata hajui kama chanzo cha kuzuka Hizbollah ni Beirut crisis iliyotaka kuondoa utawala wa kikristo unaopingana na uwepo wa Israel Lebanon.

Japo kanishangaza kukataa dhana ya huyo Jenerali kana kwamba yeye anajua kuliko huyo Jenerali.
 
Mimi mwenyewe na mshangaa.
 
So unaliongeleaje suala la Ndege iliyokuwa inasemekana kuwa ni Ndege vita Bora duniani Tena isiyo onekana kwenye radar kutunguliwa na jeshi la IRGC huo tuuite Nini Udhaifu au kitu Gani !?
Ni uongo kuwa Iran aliangusha F-35!!!!

USA kushindwa kuwazuia Iran wasiufunge mlango wa Hormuz mpaka Leo hii Je USA ni dhaifu ama kwako Ina tafsiri Gani
Kwanza tambua kilichawapeleka huko Iran si Mlango bahari wa Hormuz kwa hiyo hiyo si kigezo kwao hayo ni mawazo yako wewe!!

Tambua hili kwanza marekani waliondoa askari wao huko kwenye gizo base walibaki tu labda walinzi wa kulinda mali kidogo iliyoachwa!!

Nashangaa unapotafuta udhaifu wa Marekani kwenye sehemu ambayo aliwaondoa askari wake.

Kama mnatafuta udhaifu wa Marekani anazo meli-vita nyingi sana huko Mashariki ya kati zamisheni moja hapo ndipo tutajua udhaifu wake.

Kama mnataka kuona udhaifu wa marekani nendeni huko Marekani mkamtoe Maduro gerezani!!!

Kuhusu mabomu yanayorushwa Israel mengi ni Craster-bombs ambayo ni kinyume kutumiwa ambayo mengi yanapopolewa hukohuko angani hivyo kuyamalizia nguvu,

Asilimia kubwa ya mabomu ya Iran hupopolewa na mengine huangukia sehemu za wazi na ndiyo maana hakuna madhara makubwa kama wewe unavyokaririshwa na video za AI.

Kinachonishangaza wewe huoni madhara anayopata Iran kwa miundombinu yake kuangamizwa kila uchao na mashambulizi ya ndege-vita za Israel!! Wala hushangai kutokuziona ndege-vita za Iran zikililinda anga la nchi yao!!!

Wala hushangai kwa nini Marekani na Israel waliweza kuwafuata marubani wa ndege-vita ya Marekani F-15 E kuwaokoa na wakaondola nao hilo hushangai na huoni kuwa huo ni udhaifu wa IRGC na mifumo yake ya ulinzi wa anga? Sasa nimeamini wahenga walichokisema Nyani haoni kundule
 
Nyuklia ya iran imeathirika vipi ktk hii vita?

Unaongelea iran kurudi nyuma kijeshi, vipi Israel yeye harudi nyuma kijeshi kama Iran? Vipi marekani nguvu yake mashariki ya kati na kiujumla hairudi nyuma?
 
Kwanini Hezbollah na Hamas zinapigana na Israel?

Wewe jamaa hauoni Hezbollah na Hamas wana sababu ya msingi kupigana na Israeli vile vile Iran ina sababu ha msingi ya kuwasapoti
 
Kama huo usaliti upo kwa kiwango hicho maana yaje hiyo nchi intelijensia imekufa? Ndani yacwiki mbili mkuu wa usalama wa nchi, waziri wa intelijensia, mkuu wa intelijensia bwa jeshi wote waneuwawa. Ina maana hizo intelijensia zimeshindwa kufanya kazi?
Haya si matukio ya kwanza, Ni marudio. Intelijensia inakua wapi?
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la yazd
 
Kwanini Hezbollah na Hamas zinapigana na Israel?

Wewe jamaa hauoni Hezbollah na Hamas wana sababu ya msingi kupigana na Israeli vile vile Iran ina sababu ha msingi ya kuwasapoti
Basi haya USA ana haki ya kumsapoti Israel na Iran ana haki ya kupigwa
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Mashhad airport
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora petrochemical plant ya kangan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…