City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Assassination operation. Mtaa wa jafarbayπ₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la tehranpars. Milipuko mikubwa sana
View attachment 3568690
Eneo ni pardis phase 4. Pia Kuna assassination operation imefanyika hapaπ₯π₯π₯π₯
Video footage: Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la pardis. Eneo Kubwa limeshambuliwa muda mchache uliopita