MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI π₯ π₯ π₯ π₯ π₯
BREAKING
Umeme umekatika katika baadhi ya maeneo ya Karaj nchini Iran baada ya mashambulizi kugonga nyaya za kusafirisha umeme.
π Taarifa hii inaendana na ripoti kuwa mashambulizi yamelenga miundombinu ya umeme na kusababisha kukatika kwa umeme katika maeneo karibu na Tehran na Karaj.