Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kwa hiyo sasa hivi wanashambulia kila kitu kwa kisingizio kwamba kinatumiwa na jeshi?

Hawa ndo watu wasiostahili kuwa na silaha za aina yoyote ile ila wamefanikiwa kuwa gaslight watu walio wapumbavu kwamba Iran ndo haistahili kuwa na silaha za kujilinda!

Sickening.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Netanyahu: tunaharibu na kuvunja utawala wa kigaidi wa Iran kwa nguvu kubwa. Leo tunashambulia madaraja na miundombinu ya reli ambayo hutumiwa na serikali/jeshi. Wanatumia haya madaraka na reli kwa kusafirisha malighafi kwa ajili ya kusafirisha silaha. Pamoja na yote Mimi na waziri wa ulinzi tumepitisha na kukubaliana kutoshambulia raia wa Iran. Lengo ni kudhoofisha na kuvunja serikali ya kigaidi iliyowatesa raia wa Iran kwa miaka 47
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kusini mwa kargan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
 
Mtu anataka kuifutilia mbali civilization nzima ya Iran halafu tunaambiwa kwamba viongozi wa Iran ni vichaa!

Lakini anayeandika matusi na kutishia kuifuta civilization ya Iran, eti ndo mwenye akili! Tena yeye mwenyewe huwa anajiona ni jiniasi 🀣.

Maajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…