Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Nilimuonea huruma alipokoswa koswa na risasi lakini sasa hivi natamani asingekoswa na ile risasi!Trump ni very idiotic.
Hata Marekani inawekeza fedha nyingi sana kwenye silaha, tena nyingi kushinda nchi zote duniani na pia inafadhili ugaidi.Nawakumbusha tu Iran ni ngumu hata kupata mkate wa kila siku, sababu licha ya vikwazo pesa nyingi anazopata baada ya kuuza mafuta China kwa bei ya kutupwa fedha nyingi anaweka kwenye silaha na kufadhili ugaidi
Yeye silaha ni faida ukizingatia pia ni muuzaji namba 1 wa silaha duniani, uwezi compare uchumi wa USA na Iran labda compare kwenye vingine hukoHata Marekani inawekeza fedha nyingi sana kwenye silaha, tena nyingi kushinda nchi zote duniani na pia inafadhili ugaidi.
So what’s your point?
Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha ili iweze kujilinda.Yeye silaha ni faida ukizingatia pia ni muuzaji namba 1 wa silaha duniani, uwezi compare uchumi wa USA na Iran labda compare kwenye vingine huko
Kaka utawaua wapumzishe kiaina,😫😄🤣🤣Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha ili iweze kujilinda.
Leo tumeona umuhimu wa Iran kuweza kujilinda.
Iran ingekuwa haina uwezo wa kujilinda, ingekuwa imeshafanywa koloni la Marekani na Israel.
Kuhusu uchumi, ninauelewa vizuri sana uchumi wa Marekani.
Kuna wananchi wengi sana wa Marekani walio na shida na ambao wangeweza kusaidiwa na hizo pesa ambazo zinawekezwa kwenye mambo ya silaha na jeshi.
Nakutana na hao Wamarekani kila siku. Wengine hadi huwa nawasaidia hapa na pale. Hili ninalijua. Sibahatishi.
Hata Marekani shida zipo nyingi tu.
So what’s your point?
Wairan mwezi wa kwanza tu wameandamana kuhusu gharama za maisha, vipi ushawahi iona hiyo USA....Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha ili iweze kujilinda.
Leo tumeona umuhimu wa Iran kuweza kujilinda.
Iran ingekuwa haina uwezo wa kujilinda, ingekuwa imeshafanywa koloni la Marekani na Israel.
Kuhusu uchumi, ninauelewa vizuri sana uchumi wa Marekani.
Kuna wananchi wengi sana wa Marekani walio na shida na ambao wangeweza kusaidiwa na hizo pesa ambazo zinawekezwa kwenye mambo ya silaha na jeshi.
Nakutana na hao Wamarekani kila siku. Wengine hadi huwa nawasaidia hapa na pale. Hili ninalijua. Sibahatishi.
Hata Marekani shida zipo nyingi tu.
So what’s your point?
Hawezi niua kijana sema tu me mvivu ku type ila kubishana kwa hoja me ni Jadi yanguKaka utawaua wapumzishe kiaina,😫😄🤣🤣
Hawa watu wanaotetea huu upumbavu wa Trump wananikera sana.Kaka utawaua wapumzishe kiaina,😫😄🤣🤣
Mambo ya uchumi wa ndani ni mambo ya Iran.Wairan mwezi wa kwanza tu wameandamana kuhusu gharama za maisha, vipi ushawahi iona hiyo USA....
Na hao wenye maisha duni waliopo huko unao waona Iran wapo wa kutosha..
Yote kwa yote Iran lazima aonywe ajue kuwa kuna taifa teule..
Ving'ora ni trauma nyingine itakayo dumu vichwani mwa Israeli. Fikiria Kila siku ving'ora vinalia tu hapo utakuwa na kumbukumbu mbaya sanaKuna watu walisema anga lao limekua chujio mpaka ving'ora vimesusa kutoa tahadhali kwa watu kuingia mapema kwenye bunker.👇👇
Southern Zionist entity
usikchokijua huyu jamaa ana chuki zake binafsi na Trump miaka ya nyuma alikuwa akiishi huko so baada ya Trump kurudi awamu hii na akaja sera juu ya wahamiaji nahisi jamaa ni miongoni mwao waathirika. Kwani miaka hiyo ni nilikuwa nasoma tu jamiiforum bila akaunti jamaa alikua humwambii kitu kuhusu USA na TrumpWairan mwezi wa kwanza tu wameandamana kuhusu gharama za maisha, vipi ushawahi iona hiyo USA....
Na hao wenye maisha duni waliopo huko unao waona Iran wapo wa kutosha..
Yote kwa yote Iran lazima aonywe ajue kuwa kuna taifa teule..
Badala ya kujibu hoja unamuattack mtu husiye mjua.usikchokijua huyu jamaa ana chuki zake binafsi na Trump miaka ya nyuma alikuwa akiishi huko so baada ya Trump kurudi awamu hii na akajibu kisha juu ya wahamiaji nahisi jamaa ni miongoni mwao waathirika. Kwani miaka hiyo ni nilikuwa nasoma tu jamiiforum bila akaunti jamaa alikua humwambii kitu kuhusu USA na Trump
Si kweli, Iran wanatumia Up to 20% ya Government Expenditure kwenye Elimu. Na pia hawana shida ya kula Nchi Yao ni katika Nchi zinazoongoza Duniani watu kutokua na Njaa, angalia global hunger index, Sasa hivi Israel kuna Food crisis kuliko wao. Sio Tu Iran wana Chakula Bali ni bei rahisi Hadi bure,Nawakumbusha tu Iran ni ngumu hata kupata mkate wa kila siku, sababu licha ya vikwazo pesa nyingi anazopata baada ya kuuza mafuta China kwa bei ya kutupwa fedha nyingi anaweka kwenye silaha na kufadhili ugaidi
We hukufuatilia taarifa namna maelefu ya watu walivyouawa na serikali kipindi cha maandamano ya kudai haki zao, we unahisi bila mkono wa super power wa dunia nani mwingine angewakomboaMambo ya uchumi wa ndani ni mambo ya Iran.
Hayaihusu Marekani.
Na gharama za maisha za Iran haziipi mamlaka Marekani kuiangamiza Iran.
Halafu kuiangamiza Iran kama alivyotishia Trump, kunaisaidiaje Iran? Kunawasaidiaje Wairan?
Make it make sense.
Ulichoandika mwanzo na nilichokujibu hakiendani na hiki umeandika sasaWewe sasa unaleta uhalisia gani zaidi ya kutuuzia chai uhalisia husio na reference huo nao unauita uhalisia, maana vita umeigeuza kama marede,mara Fatuma kamrushia mpira,Habiba mara Fatuma kamrushia mpira Joyce reference hauna?
Sasa umeshambulia high rankings officer vipi wamefanikiwa kupunguza rate ya mashambulizi? Umeangamiza high rankings officers halafu unaomba suluhu ya kidiplomasia, sasa ina maana gani? Iran sio Hamas, kila position ina watu zaidi ya kumi wanaweza shikilia hiyo nafasi. Yaani unaangamiza high rankings officers halafu bado unapiga vyuo vikuu,nyumba za maproffesa mpaka nyumba za ibada, vipi sites za kijeshi zimeisha? Maana rate ya mashambulizi Iran inazidi kuwa kubwa kila siku.
Hizo nyingine ngonjera hao high ranking officers wenyewe wa NATO na mkuu wa Counterterrorism Kent hawajui wala hawaoni sababu ya kwa nini US/Myahudi wanampiga Iran,hizo sijui Iran anataka kumfuta Myahudi ni sababu tu za uongo kama ilivyo kwa Mass of Weapons Destruction na Iraq ya Sadam.
Hata nikikuuliza wewe malengo ya hii vita hauna kwani kila siku yanabadilika, Trump mwenyewe mpaka sasa haeleweki lengo lake ni nini,yaani ile press ya jana amekuwa kama chizi aliye kabiziwa rungu, hajui alitumiwe wapi na wakati gani.
Kuna Maseneta huko wanataka ku-invoke 25 ammendments,wanaona wanaongozwa na chizi.
View: https://m.youtube.com/watch?v=ZlQAP_VGCq8
kwani nilivyosema ni uongo tena jamaa hata Trump alivyowatusi waafrika kwa kufananisha na shimo la choo jamaa alikuwa anakazia kabisa tena alikuwa anamalizia na US baby"Badala ya kujibu hoja unamuattack mtu husiye mjua.
Badala ya kujibu hoja unamuattack mtu husiye mjua.
Lazma uwe Mwendawazimu ili kukubaliana na upuuzi wa trampu na bibi!! Hoja mkuu wameshindwa wafanyaje sasa zaidi ya kushambulia mtoa hoja??