Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ila Mkuu wa Counterterrorism Kent hakusikia ila ulisikia wewe,Four Star General Clark mkuu wa vikosi vya NATO hakusikia ila ulisikia wewe,inastajabisha.......

Sijawahi kupost humu kama Netanyahu kaangamizwa, kama comment uliyo iona nimeandika hivyo iweke. Kila nilichopost na kikumbuka na uzuri huwaka naweka na reference, sijitungii na kupost hovyo hovyo.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la viwanda vya jeshi zarin shahr
 
Wairan mwezi wa kwanza tu wameandamana kuhusu gharama za maisha, vipi ushawahi iona hiyo USA....

Na hao wenye maisha duni waliopo huko unao waona Iran wapo wa kutosha..

Yote kwa yote Iran lazima aonywe ajue kuwa kuna taifa teule..
Achana na Raia wa kawaida wastaafu Tu wa Jeshi hapo Marekani wengi wanaishi mitaani ni homeless hawana uwezo wa Ku Afford nyumba. Inakadiriwa kuna wastaafu 33,000 wa Jeshi wanaishi mitaani


Pitia hii list ya Nchi zinazoongoza kwa homeless



Vinchi vya ajabu ajabu kama Burkina Faso, Ethiopia, Msumbiji etc ndio vinashindana na USA kwenye Idadi ya Homeless.
 
Msumbiji na Ethiopia ni vi nchi vya ajabu wewe mgonjwa wa akili eeeh?

Ethiopia inazidiwa nini na Tanzania na Kenya combined? Bahari?

Hiyo Maputo wewe umefika au unabwabwaja na hiyo dar yenu mavi mavi kila kona unakutana na harufu mbaya mbaya?
 
Mare
 
Residents are fleeing Tehran in one of the largest exoduses since the war began, with heavy traffic heading north toward the Caspian Sea amid fears of potential strikes on power plants - NYT
 
Ulileta hii habari ya Netanyahu, ukasema umetoa kwenye vyombo vya kuaminika. Nikakuambia acha uongo pia nlikushauri utumue vizuri akili kwenye kule unachoweka. Sasa hivi unakataa hukuleta? Hii ni nini? Au joseph1989 mpo wawili?


Dakika chache baadae Netanyahu akafanya ziara ya ujaguzi, nikakutag Ila hukujibu ukala kona
 
Take that……I’m in Augusta for the golf tournament……living my best life.

 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la nahavand
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Khomein shahr kaskazini mwa Isfahan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la najafabad. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…