Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora petrochemical complex ya amirkabir
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora petrochemical complex ya bandar e emam
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora jam petrochemical complex eneo la mahshahr
 
Humjui vizuri Nyani Ngabu, he choose a side by thinking first not kissing azz
 
Msumbiji na Ethiopia ni vi nchi vya ajabu wewe mgonjwa wa akili eeeh?

Ethiopia inazidiwa nini na Tanzania na Kenya combined? Bahari?

Hiyo Maputo wewe umefika au unabwabwaja na hiyo dar yenu mavi mavi kila kona unakutana na harufu mbaya mbaya?
Tunaongelea homeless na Nchi zote hizo tumewapita, Uhusiano wa Tanzania na Ethiopia ni Malori yetu na Gari zetu kutorosha wa ETHIOPIA waokimbia nchi Yao kutafuta maisha mazuri.
 
Nionyeshe niliposema Netanyahu ameangamizwa sipaoni? Kila nilichopost humu na kikumbuka.
 
Hapo nilikua najiongelesha mwenyewe? Hapo so umesema taarifa umetoa Hindustan, na ukasema hao Hindustan sio millard ayo. Au tulikua tunazungumzia nini?

Comment yangu ya kwanza kuhusiana na tetesi za Netanyahu. Kuna sehemu niliconclude Netanyahu kauwawa? Mimi najua kila nilichopost humu. Hizo Rumour hata vyombo vya ulaya vilipost huku vikiuliza "wapi alipo Netanyahu ".

Labda kama hukuelewa nilicho andika.
 
So uliposema kuwa habari zipo Hindustan na hao Hindustan ni media inaaminika na sio millard ayo, ulikua ukimaanisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…