Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Attachments

  • Screenshot_20260228-230405.png
    1.2 MB · Views: 10
  • Screenshot_20260228-230355.png
    1.3 MB · Views: 11
  • Screenshot_20260228-230327.png
    1.2 MB · Views: 11
  • Screenshot_20260228-230301.png
    864.3 KB · Views: 10
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Jeshi la Israel limethibitisha kuua viongozi wafuatao wa Iran
  • Afisa usalama wa supreme leader
  • waziri wa ulinzi
  • mshauri wa raisi (anaitwa Ali shamkhani)
  • mkuu wa itifaki jeshini (anaitwa mohsed Shiraz)
Katika list hii Ayatollah Khamenei hayumo
 
Ile siyo nchi ya kifalme, CIA wenyewe wanasema kama kafa basi atarithiwa na hard liner wa IRGC, nyinyi habari za mujtaba kuwa successor mmezitoa wapi?
Israel imesema itaua kiongozi yoyote mstaafu, wa sasa au ajaye ambaye atatishia usalama wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…