Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kinachowaconfuse wakristo wengi wa Tanzania,ambao kiuhalisia wengi ni wasomi sana kuliko waislam na hii hupelekea kuonekana WAPUMBAVU ni hiki:-πŸ€£πŸ˜†πŸ˜ƒ
1.Iran Ina waislam 97% inaungwa mkono na mataifa yenye wakristo wengi duniani zaidi ya 90% kama Russia,South Africa,Venezuela etc, sasa wao Kila kinachofanywa na UISLAM wao wanakipinga kiwe kizuri kiwe kibayaπŸ˜†πŸ˜†
2.wayahudi maadui zao wakubwa ni wakristo kuliko hata waislam,thus why Israel kuna idadi ya waislam mara 9 ya wakristo,lakini wakristo wa bongo wanaiunga mkono mayahudi sababu tu inapigana na Iran yenye waislam wengiπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜
3.Papa ambaye ni kiongozi wa kanisa katoliki,dhehebu ambalo lina wakristo wengi duniani yupo pamoja na IRAN na VENEZUELA,sasa wafuasi wa PAPA wa Bongo hawajui wamsikilize PAPA ama wamsikilize TRUMP🀣🀣
 
Ujinga ni nini?

Ujinga, ni kuhusianisha Vita ya Iran na udini.
 
Mkuu kama nilivyo kuambiaa hapo awali Kuwa hizo ni proposal tu.

it's not an agreement/contract ni kitu ambacho kinazungumzika.

Kama Trump anavyo amka na kudanganya Dunia ameshinda vita but in reality tunaona ng'oma bado mbichi
Proposal? Hebu soma pia hii tweet ya ghalibaf. Anassma moja ya sababu ya kufanyika ceasefire ni Lebanon kutoshambuliwa.
Kabla ya siku moja kwenda kwenye negotiation akakumbushia kuwa muda unakwisha, ni either Israel waachw kushambulia Lebanon au ceasefire ivunjike. Kipi kilitokea?


Ukiachana na tweet ya ghalibaf, jeshi la Iran lilisema kuwa Kama israel hawataacha kushambulia Lebanon basi nao wataanzisha mashambulizi dhidi ya israel. Je walifanya hivyo? Je walisusia negotiation?
 
Jinga ilo City Thunder OKC
 
Daah US anazidi kupoteza washirika wake, sikutegemea Canada kama atakuwa na ujasiri huu.
View attachment 3571608
Kwa kifupi upande wa diplomasia US amepoteza reputation yake ,kutokana na hii vita imedrop vibaya mno.
Canada alikuwa chawa mkubwa sana wa USA 😁😁

It seems mataifa mengine yameshtuka Iran wamewafumbua watu wengi masikio na kuwafanya wagundue kwamba USA ni matapeli
 
Hongera Kwa maelezo mengi ambayo hayana hoja Wala mantiki yoyote

Kama kile kitabu Cha Waarabu kinasema jua linazama kwenye matope

Ni Sheria Ipi ya UN inaruhusu raia wawekwe mstari wa mbele vitani ???
Kwa akili zako unafikiri Marekani ilikuwa inataka mazungumzo au Sababu ya kuendelea kubonda serikali ya kigaidi ya Iran ?

Mpaka Leo Iran amerusha hata Jiwe Moja huko Marekani??

Ayatollah Khomeini alikuwa na maneno mengi sana kama nyie Leo Yuko wapi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…