Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari


Dunia kwasasa imebadilika !!

Trump na nchi yake Marekani wamevurugwa kimkakati tangu nchi yao imeundwa😇😇😇

IRANIAN mkakati wake wa kutoza TOZO tu Kimkakati
Tayali ni ushindi wa kishindo VITANI

Sababu izi za kimkakati elewa msomaji
1
Vikwazo alivowekewa Iranian havikuwa vya Umoja wa Mataifa ila vya MAREKANI tu

manake kimkakati USA anaamini yeye ndio mwenyewe Vikwazo kweli pamoja na Ukweli vikwazo vilikuwa vya USA tu lkn Iranian imepigika kimtindo ukitasmini kwenye Uchumi ns pesa yao imeshuka sn nk.

MAREKAN imetangaza vikwazo na kuwataka washirika wake kuacha kufanya Biashara yoyote na Iranian

Kimkakati Marekani apa kafanikiwa sana Sababu nchi nyingi zimepiga hesabu na kuona faida ya kusimama na Marekani ni kubwa zaidi💰💰💰

kuliko kuigomea na kusimama na Iranian kiuchumu.✍️

Sasa Iranian nayo imepiga hesabu zake kimkakati kwamba kweli Marekani imemshinda kiushawishi wa kimataifa kuichumi

So watakuwa wametafuta majawabu yenye uhakika kumshinda Marekani Kimkakati

Kwenye hii Vita Iranian sasa kaja na Mkakati komesha Marekani na Dollars yake

komesha washirika wake!!
Lau Wafe kuichumi au waje wamepiga magoti kwa Iranian

sijui mnaelewa neno mkakati

Sasa njia ya Hormuz imefanyai kinyume chake

Iranian ndio mwenye Umuhimu zaidi Kimataifa 💪🦾💪🦾💪🦾

na washirika wake USA kwasasa tunaona wanavyoweweseka kuhusu Iranian matamko yao ya kusimama na Marekani atuyasikii tena!!!!

zaidi matamko yao yamegeuka kinyume chake wanadai wao hawatousika kivyovyote kwenye Vita

So tukisema Iranian kashinda Vita kimkakati muwe mnaelewa..

Izi kelele zunu kufa Viongozi wa Iranian

kimkakati hakuna faida yoyote wamepata wauwaji kama ipo wekeni tusome??

kushindwa kwa Iranian kuwauwa viongozi wa Marekani au Israel sio kigezo cha Iranian kushindwa Vita🤠🤠🤠

Vita ni Uchumi sio kuuwa tu watu!!

watu kufa sio ajabu nani atokufa milele !!

kumtishia mtu kifo nisawa kumtishia mtu kujamba tu.!!

Kufa kupo

Vita Vinapiganwa kwasababu za Uchumi sio kufa.✍️

Kuzuia Hormuz Iranian wamezuiwa Uchumi wote wa Dunia na malengo yao,,

Kimkakati apo tutakuwa tumeelewana kwanini
IRANIAN ni Mshindi wa Kimkakati kwenye hii VITA

na kushindwa kwao sio kwa vigezo kuuwawa viongozi wao hapana kushindwa kwao kupo sehemu izi mbili 2

1) moja kuangushwa Utawala wa Iranian

2( kufanikisha Iranian kufungua Hormuz kama zamani na bila masharti yoyote yani tozo hakuna

na vikwazo vipo pale pale

pesa zao bado unadhidhibiti.

Washirika wako bado wamegomea kufanya Biashara na Iranian

Apo tutajua kweli Marekani imeshinda hii Vita.

Mjue Vita ni MKAKATI wa muda mrefu

Trump anajutia sana kuanzisha hii Vita ambayo kwasasa kitasmin ya Kimkakati kashindwa na anajuta kuchokoza huu MOTO !!!

Trump alitegemea itakuwa km vile kwenye Vita ya siku12 apo ndipo makosa makubwa kimkakati!!!

kumbe Iranian walijipanga kumuingiza kwenye mtego mgumu sana!!

kwasasa Mgogoro unaenda kumtoa Trump kmadarakani!!!

lkn sio tiba bado mambo yatamwendea kombo uyo Rais wao mpya !!!

bado ili Zigo litamshinda kimkakati,,

ili kusinda iwe Trump au uyo Rais mpya wa baadae ni lazima Wapigane Vita ya Ardhini na Iranian na watatakiwa washinde Msigo upo apo!!

kinyume chake ni wazi Marekani itakuwa kwasasa Imeporomoshwa rasmi kimataifa na Iranian.
 
Baada ya US kuiteka meli ya Iran,jana Iran kashambulia meli zake za kivita zilizo maeneo ya middle east.

View: https://m.youtube.com/watch?v=JFwu9hHDFKkUAE wamewambia US waondoke kwenye ardhi ya,kuna wars humu tuliwaambia kidplomasia US kapoteza vibaya mno na UAE wanafikiria kutumia yuan kwenye matzo ya mafuta, Qatar nae hataki kusikia vikosi vya US kwenye ardhi yake.

Nguvu ya ushawishi middle east ishaanza kupungua na inahatarisha ushawishi wa help yao, bado UE na NATO saga having wanataka kutengeneza muundo ambassador haumtegemei US.
 
Dunia inalalamika maisha yanaenda kuwa magumu na kuitaka marekani finalize vita, wewe unaleta propaganda za kipuuzi. Huyo Iran ameishika dunia pabaya mpaka wewe ambae hupigani vita karibia utaanza kupunguza idadi ya milo kutoka miwili mpaka mmoja kwa siku.
 
Kwani si tulishakubaliana humu sisi waajemi wa Nangurukuru kuwa alishakufa na huyu ni wa AI? 😂😂😂
 
Wacha weeee. Muirani wa Mbagala Matembele ya Pili katika moja na mbili huyo.
 
Kwanini unapenda kutumia neno "Iranian"? Tumia tu Iran inatosha.
 
US-ISRAEL Wana zana na technology kubwa mno kumshinda Muiran, na Wana pesa na resources nyingi mno na wanao uwezo wa kupigana na muajemi miaka mingi tu kwakua Wana uchumi mzuri. LAKINI nasikitika hawawezi kushinda Hata siku Moja kwakua IRAN ni strartegist mzuri mno yaàni mipango ya vita hakuna nchi dunian inaweza kumshinda muajemi pia na advantage ya kijiografia, wata Kaa tuu kwavyovyote vile lazima waombe cease fire 🔥 lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…