Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wakati wa kufa nyani miti yote huteleza 🤣🤣.... Haya magaidi yanadhani China inapenda kuharibiwa kwa biashara kati yake na Iran? Safari hii lazima Dragon ameze mtu
 
Akili hawana 😄
 
Akili hawana 😄
Akili hawana haswa. Unataka kushindana na nchi ambayo benki yao ya taifa imekopesha 78% ya dunia nzima pesa ambazo ni nyingi kuliko walizokopesha IMF na WB!??
Unadhani hilo taifa ni jepesi!??
Nchi 138 zinadaiwa na Benki kuu ya China. Hujazungumzia ujenzi nafuu wa ushirika wa miundombinu wa BELT AND ROAD INITIATIVE. Hadi Ulaya mashariki wanakimbilia kwa wingi huu ushirika ikiwemo ITALIA nayo imeomba huu ushirika.
China ni big fish to fry .
 
Sijui Israel wanajichukulia kwa umuhimu gani vile?

Ikitokea mtu amewakemea kidogo tu, wanaomba jamii yote imbague
 
Sijui Israel wanajichukulia kwa umuhimu gani vile?

Ikitokea mtu amewakemea kidogo tu, wanaomba jamii yote imbague
Wana jua kwamba walifanikiwa vyema kuidanganya Dunia kwamba Taifa lao ni Taifa teule so Kwa muktadha huo it means wana nafasi wengi Sana ambao ni wafuasi wa kidini , so wanaamini lolote watakalo sema litaungwa mkono wasicho kijua ni kwamba nyakati zime badilika Now days ukweli upo wazi kama uchi wa kuku technology imekuja kuwa weka naked vibaya sana
 
Imagine
 
China kuparaganyika na chapu TU

Haina mshikamano wa NDANI wa maana

Siku wakijichanganya kupigana vita vya nje ndani kunawaka moto

Ukiulizwa China kuna mgawanyiko gani uwezi kuwa na majibu!!!!

China ni Moja wachina ni wamoja

migawanyiko unayosema ni ramri za MEDIA za western!!!


Lkn hakuna Ushahidi wowote kuwa ndani ya Serikali ya China kuna migawanyiko yoyote au wowote ✍️
 
Achana naye fala huyo. Toka lini China ikawa na mgawanyiko!?
 
Umoja wa Ulaya umetishia kuwa unaweza kuiwekea vikwazo Israel kutokana na nchi hio kuendelea kupokea meli za Urusi zenye ngano zilizoibiwa kutoka kwenye maeneo ya Ukraine ambayo kwasasa yapo chini ya Urusi

EU imesema kuwa inalaani vitendo vyote vinavyosaidia kufadhili vita haramu vya Urusi nchini Ukraine na vile vinavyoweza kusaidia kukwepa vikwazo vilivyowekwa na mataifa ya Ulaya.

Umoja huo umeongeza kuwa unaweza kuwachukulia hatua watu au taasisi zitakazobainika kuhusika katika tukio hilo, huku ukiomba ufafanuzi rasmi kutoka kwa Israel na pia ukishirikiana na Ukraine katika uchunguzi wa suala hilo.
 
😁😁
 

Attachments

  • Screenshot_20260502_114024_Lite.jpg
    93.4 KB · Views: 27
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…