Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Imeisha hiyo babaSafari hii lazima waipate..
Mimi kifo cha Ayatollah nilitegemea kabisa na hata sijashangaa.. wala kushtuka. KWa wasio elewa wanadhani ni ushindi kwa Israel, huku wakiandaa videos za propaganda mitaani kwamba wananchi wanashangilia kifo cha Ayatollah..
Hii mipango yote inapangwa kimkakati sana na Israel pamoja na US... imeandaa na vikundi mtaani kufanya hizi cheap propaganda..
Endeleeni kujidanganya tuWatu wasichokijua Iran kwao kufa siyo ishu! Kwao inatafsirika ni ibada kuwa umekufa shahidi na ndiyo maana hawafichi vifo.
Mapigano bado makali sana! Binafsi sikutarajia kama Iran angeleta upinzani kwa kiasi hiki ambapo hata masaa 24 bado hayajafika.
Acha league, vita mmeshindwa rudini mezaniLete ushahidi wa maelfu kuuawa Iran?
Ni sahihi. Limeshapita hilo. Tugange yajayoAcha league, vita mmeshindwa rudini mezani
Unaambiwa ulete ushahidi unasema naleta ligi!?Acha league, vita mmeshindwa rudini mezani
Mabwana zako wanapelekewa moto hadi sasa kama hujui.Endeleeni kujidanganya tu
Shughuli imeshaisha hiyo
Changamoto iliyopo sasa hivi ni kwamba, Defensive missile za USA miongoni mwake madini yanayotumika kuundia hizi silaha ambayo kwa sasa hayo madini China amemuwekea vikwazo Marekani kujibu mapigo ya Trump. Wachambuzi wanasema Marekani ku sustain an air campaign is gonna be extremely limited.Wacha weeee. 😂😂😂
Naona hujalala usiku kuchaChangamoto iliyopo sasa hivi ni kwamba, Defensive missile za USA miongoni mwake madini yanayotumika kuundia hizi silaha ambayo kwa sasa hayo madini China amemuwekea vikwazo Marekani kujibu mapigo ya Trump. Wachambuzi wanasema Marekani ku sustain an air campaign is gonna be extremely limited.
Mashambulizi makali ambayo ameyafanya Iran kwa leo (ambapo bado masaa 24 hayajatimia) kwenye base za Marekani mashariki ya kati wameona ni bora kuhamisha zana zao za kivita sehemu nyengine kwa sababu patriot missile bado hazifanyikazi kwa ubora kuzuia missile za Iran.
Wamemuomba Uturuki wazihamishie zana za kivita kutoka kwenye base za mashariki ya kati wazihamishie kwake mturuki amekataa. Habari zinasema wanafikiria kuzihamishia Cyprus. Ndiyo maana unaona Iran anashambulia viwanda vya ndege vilevile hapo mashariki ya kati.
Mbaya zaidi ni kwamba mchina anampatia Iran makombora yake atesti uwezo, na kampatia kombora la kuttungua aircraft carrier na ballistic missile nyengine. Aidha, tangu vita ianze mpaka sasa Iran anatumia satellite ya kijeshi ya China.
Wazee wa kupiga majengo Zero Casualties Zero Complex military targetTel Aviv , The city is getting hit hard..
Tel Aviv inapigwa na kuna makombora yanaelekea huko..
Kweli wewe Popoma pro maxNimetizama mtandao wao wa IRGC wanasema Khamenei yupo hai. Aisee hatujui nani anasema ukweli. Tusubiri zaidi.
Popoma mwenyewe KOMA.Kweli wewe Popoma pro max
Hii vita haitachukua muda mrefu.Changamoto iliyopo sasa hivi ni kwamba, Defensive missile za USA miongoni mwake madini yanayotumika kuundia hizi silaha ambayo kwa sasa hayo madini China amemuwekea vikwazo Marekani kujibu mapigo ya Trump. Wachambuzi wanasema Marekani ku sustain an air campaign is gonna be extremely limited.
Mashambulizi makali ambayo ameyafanya Iran kwa leo (ambapo bado masaa 24 hayajatimia) kwenye base za Marekani mashariki ya kati wameona ni bora kuhamisha zana zao za kivita sehemu nyengine kwa sababu patriot missile bado hazifanyikazi kwa ubora kuzuia missile za Iran.
Wamemuomba Uturuki wazihamishie zana za kivita kutoka kwenye base za mashariki ya kati wazihamishie kwake mturuki amekataa. Habari zinasema wanafikiria kuzihamishia Cyprus. Ndiyo maana unaona Iran anashambulia viwanda vya ndege vilevile hapo mashariki ya kati.
Mbaya zaidi ni kwamba mchina anampatia Iran makombora yake atesti uwezo, na kampatia kombora la kuttungua aircraft carrier na ballistic missile nyengine. Aidha, tangu vita ianze mpaka sasa Iran anatumia satellite ya kijeshi ya China.
Suala siyo kujidanganya, suala fuatilia kwa sasa uone changamoto anayoipata Marekani kwa sasa.Endeleeni kujidanganya tu
Shughuli imeshaisha hiyo
Mna shangilia kulipuliwa majengo nyie jamaa mko na shida sanaHuu usiku haujawa wa kawaida kwa Israel. Greater Israel town imepasuka vibaya vibaya.
Huu usiku haukuwa mzuri kwa Israel.
Sijasoma hii comment yako ila Nifahamuvyo ninkiwa Khomein anaogolea kwenye miti ya pombe sasa huku anakunywa mvinyo na mabikra 72.Changamoto iliyopo sasa hivi ni kwamba, Defensive missile za USA miongoni mwake madini yanayotumika kuundia hizi silaha ambayo kwa sasa hayo madini China amemuwekea vikwazo Marekani kujibu mapigo ya Trump. Wachambuzi wanasema Marekani ku sustain an air campaign is gonna be extremely limited.
Mashambulizi makali ambayo ameyafanya Iran kwa leo (ambapo bado masaa 24 hayajatimia) kwenye base za Marekani mashariki ya kati wameona ni bora kuhamisha zana zao za kivita sehemu nyengine kwa sababu patriot missile bado hazifanyikazi kwa ubora kuzuia missile za Iran.
Wamemuomba Uturuki wazihamishie zana za kivita kutoka kwenye base za mashariki ya kati wazihamishie kwake mturuki amekataa. Habari zinasema wanafikiria kuzihamishia Cyprus. Ndiyo maana unaona Iran anashambulia viwanda vya ndege vilevile hapo mashariki ya kati.
Mbaya zaidi ni kwamba mchina anampatia Iran makombora yake atesti uwezo, na kampatia kombora la kuttungua aircraft carrier na ballistic missile nyengine. Aidha, tangu vita ianze mpaka sasa Iran anatumia satellite ya kijeshi ya China.
Hayo majengo wanakaa panya sio watu!??Mna shangilia kulipuliwa majengo nyie jamaa mko na shida sana
Leta list ya key military figure ya Israel iliyo kwisha uwawa mpaka sasa hv
Na mm nikuonyeshe mamia ya majenerali wa kiiran na kiongozir wao alie uwawa siku ya kwanza tu ya mashambuliz.
Vita haijaisha labda vita ya kwenu Nantumbo.Sijasoma hii comment yako ila Nifahamuvyo ninkiwa Khomein anaogolea kwenye miti ya pombe sasa huku anakunywa mvinyo na mabikra 72.
Hizi uliziandika ni ushuzi na vita ishaisha.
Nikweli ila Iran ingekuwa na nia ya dhati kabisa basi Iran ilikuwa na nafasi kubwa sana kutengeneza silaha za nyuklia kwa miaka mingi sana lakini wao wakakalia sijui fatwa za kidini.Kila akijaribu wanasayansi wake wanazamishwa ardhini