Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mna shangilia kulipuliwa majengo nyie jamaa mko na shida sana
Leta list ya key military figure ya Israel iliyo kwisha uwawa mpaka sasa hv
Na mm nikuonyeshe mamia ya majenerali wa kiiran na kiongozir wao alie uwawa siku ya kwanza tu ya mashambuliz.
Kwenye vita ili uweze kumpunguza mwenzako nguvu unashambulia military infrastructure ambayo mengine huwekwa kwenye majengo au makazi ya kiraia.

Kombora au missile ya aina yoyote ina gharama sana kwenye utengenezaji wake. Kwa hiyo, usidhani kuwa watu wanapopiga mahala fulani basi wameamua wapige. Fikiri kwa mapana ndugu yangu, vita si kitu cha mchezo kama unavyodhani.
 
Sijasoma hii comment yako ila Nifahamuvyo ninkiwa Khomein anaogolea kwenye miti ya pombe sasa huku anakunywa mvinyo na mabikra 72.

Hizi uliziandika ni ushuzi na vita ishaisha.
Loh!

Kweli, si mavazi wala jina wala umaarufu bali mtu akifungua kinywa chake ndipo utakapojua uwezo wake wa kufikiri.

Umeshinda mtanganyika mwenzangu.
 
Burj khalifa na majengo mengineyo ya hotel pale Dubai ni military infrastructure?
Airport zinazo shambuliwa pale Bahrain ni military infrastructure?
Hizi ndizo akili Unde za waajemi kua wakishambulia hayo maeneo wanakua wame pata faida Gani?
 
Mtanganyika mwenzangu, vitu vyengine inabidi ujielimishe. Kwani ni nini maana ya miundombinu ya kijeshi?

Labda tukusaidie: Ni majengo, vifaa na mifumo inayomilikiwa au KUTUMIWA NA JESHI ILI KUSAIDIA SHUGHULI ZAKE ZA ULINZI NA OPERESHENI.

Kwa mujibu wa sheria za kimataifa chini ya mkataba kama Geneva Conventions zinasema shambulio haliruhusiwi kulenga raia au miundombinu ya kiraia isipokuwa tu kama: Inachangia moja kwa moja katika uwezo wa kijeshi na kushambulia kunaleta faida ya wazi ya kijeshi.
 
Kamwe Israel hawawezi ruhusu Iran akamiliki nyuklia hilo sahau halitokuja kutokea maana Iran lengo lake kubwa ni kuifuta Israel the moment wanamiliki nyuklia basi hakika wataimaliza Israel. Na ndiyo maana Israel nyuklia anayo ila hataki taifa lingine hasimu wake liwe nayo
 
Burj khalifa na majengo mengineyo ya hotel pale Dubai ni military infrastructure?
Airport zinazo shambuliwa pale Bahrain ni military infrastructure?
Hizi ndizo akili Unde za waajemi kua wakishambulia hayo maeneo wanakua wame pata faida Gani?
Mkuu Iran kushambulia viwanja vya ndege na mahoteli ni kutaka kuleta taharuki na shinikizo na kuhakikisha kuwa shughuli zote za kiuchumi zina simama kwenye nchi hizo ili kuziweka katika wakati mgumu usiyo weza kuvumilika ili nchi hizo ziishinikize Marekani iache mashambulizi yake dhidi ya Iran.
 
Nyie watu mna uzalendo wa hali ya juu
 
Kwahiyo vita imeisha?? Ila iran nao kweli matambo yote yale wanakuja kufungwa mdomo chini ya 24hrs 😄
 
Burj khalifa na majengo mengineyo ya hotel pale Dubai ni military infrastructure?
Airport zinazo shambuliwa pale Bahrain ni military infrastructure?
Hizi ndizo akili Unde za waajemi kua wakishambulia hayo maeneo wanakua wame pata faida Gani?

Hili swali umewahi kujiuliza kipindi Israel inadondosha majumba huko Gaza?.
 
Kawaulize Pakistan pamoja kuwa na nuclear kilitokea nini pale walipogoma kushirikiana na Bush kuhusu vita ya ugaidi hasa kuivamia Afghanistan walipewa onyo gani mpaka Musharaf akafyata mkia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…