baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Probably hotel zitashusha bei ama serikali kutoa mahala pa kukaaKama mtu alienda na budget ndogo ya kukaa siku 3 ama 4, na hili limetokea sijui inakuwaje maana, nadhani watapata msaada kwenye ubalozi Abu Dhabi.
Tel Aviv inanuka kinyesi, mfumo wa maji taka unaobeba uchafu toka majumbani kupitia chambers umetandikwa, Tel Aviv inanuka kinyesi... hapo lazima ifuatane na kipindupindu, homa ya tumbo na kuhara..Hii kamba ya Ndege za Israel zinazurura ovyo Iran inarudiwa kila siku humu, lete source, siku zote hizo Ndege zinatumia Anga ya Iraq, na sasa hivi Iraq pia kimenuka soon wataikosa na hio support.
Halafu we jamaa mweupe Sana, USA kashindwa miaka 20 Afghanistan, unahisi Israel anaweza siku 3 Iran? Israel wenzako wanachapika huko, Tel Aviv kuna mafuriko, kila kona kunawaka na Moto.
Iran kama ilivyo Afghanistan ni nchi ya milima, huwezi kamwe kuipiga na Air strikes, Zana zao na tech zao zote zipo chini ya milima. Kuna njia moja Tu ya kupigana nao ni vita vya Ardhini ama ufanye Mapinduzi, ambayo so far ni unlikely kwa support inayoendelea.
Kuna habari nimeona imeandikwa na WSJ, inamtaja kiongozi fulani hivi wa hayo mataifa yanayobondwa na Iran, taarifa inasema jamaa ni mmoja kati ya watu waliokuwa wanamshawishi Trump kuishambulia Iran.Wabongo waliofuata mizigo huko Dubai sijui wanaendeleaje..
Iran inatoa onyo mashariki yote ya kati.
Inasemekana waziri wa ulinzi wa UAE ameuawa na makombora.Kuna habari nimeona imeandikwa na WSJ, inamtaja kiongozi fulani hivi wa hayo mataifa ya yanayobondwa na Iran, taarifa inasema jamaa ni mmoja kati ya watu waliokuwa wanamshawishi Trump kuishambulia Iran.
Kuna meli ya mafuta imegongwa kombora ikijaribu kupita Hormuz pasi na kupewa onyo.
Mkuu Iran harushi hovyo hovyo angekuwa ana shambulia hovyo basi hayo makombora yangekuwa yanaangukia nchi yeyote ile hata zile ambazo hazihusiki .Aiseeh! Yaani ni aibu Sana.
Hapo watarusha makombora hovyohovyo bila mipango.
Ni kama mtu aje kwako akupige wewe Baba WA familia. Alafu watoto wako wakarushe mawe nyumbani kwako wakapasue vioo vya dirisha, au gari, wachome shamba lako.
Bado haiondoi ukweli kuwa Baba wa Familia amepigwa na familia yenu imepigwa.
Tatizo wengi hawajui nini maana ya vita.
Na kwenye vita kuna target ambazo zikipigwa itadaiwa umepigwa. Target ya Kwanza ni kiongozi mkuu na viongozi wa majeshi.
Simple.
Ndio maana wanataka wana nchi waingie barabarani waandamane ili kutokee uasi ili serikali ipinduliwe kutoka ndani.Iran kuiangusha bila ground invasion,coup au civil war itanipa picha mpya kabisa kuhusu mbinu za kimedani kama Israel na Marekani wataweza kufanya hivyo kinyume na hapo ni kutwanga maji kwenye kinu
Endelea kuota.Yaani kwa ufupi Iran anachapika kuliko zile siku 12
Wananchi ndio kwanza wana hasira na wanataka kisasi.Ndio maana wanataka wana nchi waingie barabarani waandamane ili kutokee uasi ili serikali ipinduliwe kutoka ndani.
Yaani Iran kaamua kusema liwalo na liweIran sio wachoyo!
Nasikia hadi Cyprus wameonjeshwa mizinga ya asali leo!!!