Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

WAISRAEL WAMENASA KWENYE VITA VIGUMU seem 1 Netanyahi anataka amalize ishu ya Gaza ambayo ni ajenda yao kuuu USA na ULAYA wanaunga mkono!! sasa waGaza wamekubali wafie palepale awaondoki kwenda Misri na Misri kafunga mpaka!!! Genoside hii karne y 21 wkt wao wanaagenda iyo uku Yemen uku hezbollah uku IRAN wapo macho kufelisha uho mpango ISRAEL imeambiwa na Yemen ukiacha vita Gaza sisi atutozuiya meri zako na hezbullah ivyoivyo tangu mwanzo ajafa yoyote kule lebanoni. wamemwambia Israel wacha vita Gaza sisi tutaacha kukushambulia lkn ISRAEL ana uchu wakuitumia vita hii amalize kadhia ya Gaza pia japo ndio itakuwa ushindi wao mkubwa ktk hii vita JE NETANYAHU na vibalaka wake watavumilia vipigo uko Ndani ya Israel uku wao wakikaza shingo kuendelea na mipango ya kuitwaa ardhi ya Gaza ukisikia imepatikana muafaka kumaliza vita, na tukijua Gaza bado ipo chini ya Wqpalestine basi jua ISRAEL katema Bungo vipigo vimemzidia kakubali yaishe chamtu mavi!!!😀 na ndio mwanzo w kuudwa Taifa la palestine mana ISRAEL atosubutu tena kuivamia Gaza anajua wazi kwasasa itqjiandaa upya kukubwa zaid na wao wataogopa kupasa ASALA zaid y i yasasa muda ndio mwalimu mkuui. Tuwe na asubui njema
 
Wanaukumbi.

Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa

Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake.
===============
Netanyahu dismissed defense minister Yoav Gallant from his position.

It is being speculated that current Israeli Foreign Minister Israel Katz will replace him.

View: https://x.com/currentreport1/status/1853860552524874235?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

View: https://x.com/aryjeay/status/1853862899527368837?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wote ni wanajeshi wastaafu. Yaani Yoav Gallant alikuwa na msimamo mkali wa kutokomeza kizazi haramu cha wapalestisna. Sasa mshukuruni Netanyahu anaubinadamu kidogo kuliko Yoav
 
WAISRAEL WAMENASA KWENYE VITA VIGUMU seem 1 Netanyahi anataka amalize ishu ya Gaza ambayo ni ajenda yao kuuu USA na ULAYA wanaunga mkono!! sasa waGaza wamekubali wafie palepale awaondoki kwenda Misri na Misri kafunga mpaka!!! Genoside hii karne y 21 wkt wao wanaagenda iyo uku Yemen uku hezbollah uku IRAN wapo macho kufelisha uho mpango ISRAEL imeambiwa na Yemen ukiacha vita Gaza sisi atutozuiya meri zako na hezbullah ivyoivyo tangu mwanzo ajafa yoyote kule lebanoni. wamemwambia Israel wacha vita Gaza sisi tutaacha kukushambulia lkn ISRAEL ana uchu wakuitumia vita hii amalize kadhia ya Gaza pia japo ndio itakuwa ushindi wao mkubwa ktk hii vita JE NETANYAHU na vibalaka wake watavumilia vipigo uko Ndani ya Israel uku wao wakikaza shingo kuendelea na mipango ya kuitwaa ardhi ya Gaza ukisikia imepatikana muafaka kumaliza vita, na tukijua Gaza bado ipo chini ya Wqpalestine basi jua ISRAEL katema Bungo vipigo vimemzidia kakubali yaishe chamtu mavi!!!😀 na ndio mwanzo w kuudwa Taifa la palestine mana ISRAEL atosubutu tena kuivamia Gaza anajua wazi kwasasa itqjiandaa upya kukubwa zaid na wao wataogopa kupasa ASALA zaid y i yasasa muda ndio mwalimu mkuui. Tuwe na asubui njema
Maneno yako ni 💯
 
Wanabishana kuhusu kumuua kiongozi mkuu wa Iran, waziri anasema wamuache il wasiende kwenye full scale war… waue wengine wote. Ye Netanyahu anamtaka Ayayollah amuwahishe akale vimodo 72
Sasa unamuuaje Ayatollah alafu usingie kwenye vita kamili?
 
Back
Top Bottom