Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

Kukomboa mateka ni gia tu, wanataka kuifuta Palestina. Hawawezi kusema kuifuta Palestina maana jumuiya za kimataifa zitailaani. Ila ndicho wanachofanya
Kuifuta Palestine sio ? mbona ni tofauti kabisa na kinacho tokea katika jumuiya ya kimataifa kuhusu mustakabali wa taifa la Palestine na suluhisho la mataifa mawili.

Sauti za wapalestina zinasikika mara mbili zaidi ya awali thanks to Hamas na ujinga wa majeshi ya Israel na serikali yao kwa yanayo endelea Gaza
 
Kuna mengi ambayo hatuyajui kuhusu sababu za kutumbuliwa kwa Gallant.

conspiracy theory moja inasema sababu ya mwamba kutumbuliwa ni kwama alikuwa akimtafuna sara Netanyau, mke wa Bibi kimya kimya.

Nyingine inadai kuwa mwamba alipingana na bosi wake kwani alikuwa anaamini njia ya majadiliano ya amani ndio ilikuwa njia sahihi ya kumaliza mzozo ambapo ingepelekea kuachiwa kwa mateka wa Israel lakini Netanyau alikataa peace deal hiyo.

Niishie hapo.

Time will tell
 
Wakati wanaanza uvamizi Ghaza Netanyahu aliweka malengo ya kuifuta Hamas ila mwamba alimuambia hicho kitu hakiwezekani cos Hamas ni itikadi kama dini tu ili uweze kuifuta Hamas lazima uuwe Raia wote wa Gaza! Jamaa ni mwanasiasa wa chama cha Likud chenye mrengo wa kulia lakini ata hivyo hana itikadi kali kama alivyo Benjaman Netanyahu. Kwaiyo Netanyahu anamuona kama kikwazo tu
 
Hata myahudi na kafiri wa hapa Kenya aliwaeka wenzie wasio kua na akili kama nyie na njaa ili wafe wakamuone Jesu
Sijaona mijitu mijinga kama hi duniani, kwanza vipi useme Mungu wako kazaliwa kwenye zizi la ngo'mbe. Afu wachana na hio Mungu amezaliwa na bina adamu, sa mama yake Yesu Mungu wake ni nani, ni mtoto wake au 😄
 
Ukweli mchungu majamaa hayajitambui yapo yapo tu mtu mwenye kujitambua hawezi abudia sanamu
 
Kuna mengi ambayo hatuyajui kuhusu sababu za kutumbuliwa kwa Gallant.

conspiracy theory moja inasema sababu ya mwamba kutumbuliwa ni kwama alikuwa akimtafuna sara Netanyau, mke wa Bibi kimya kimya.

Nyingine inadai kuwa mwamba alipingana na bosi wake kwani alikuwa anaamini njia ya majadiliano ya amani ndio ilikuwa njia sahihi ya kumaliza mzozo ambapo ingepelekea kuachiwa kwa mateka wa Israel lakini Netanyau alikataa peace deal hiyo.

Niishie hapo.

Time will tell
Unataka kuwaokoa mateka kwa F35 au markeva hii umeshaawahi kuiona wapi duniania hatakama una FF lazima ujue Netanyahu ni mwendawazimu
 
Back
Top Bottom