Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Malengo ya IDF kwenda Gaza ni kutengeneza vifusi ?Kachimbe vifusi GazaView attachment 3144892
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malengo ya IDF kwenda Gaza ni kutengeneza vifusi ?Kachimbe vifusi GazaView attachment 3144892
Kosa lake nini ?Huyo alitakiwa kuondolewa kitambo tu, Metanyahu ndiye alimkingia kifua muda wote
Kuifuta Palestine sio ? mbona ni tofauti kabisa na kinacho tokea katika jumuiya ya kimataifa kuhusu mustakabali wa taifa la Palestine na suluhisho la mataifa mawili.Kukomboa mateka ni gia tu, wanataka kuifuta Palestina. Hawawezi kusema kuifuta Palestina maana jumuiya za kimataifa zitailaani. Ila ndicho wanachofanya
Kauli zake zilikuwa zinapooza mission kwa kauli zake, kiasi ikawa ina destibilize mikakatiKosa lake nini ?
Unamfahamu Mao Zedong ?Kauli zake zilikuwa zinapooza mission kwa kauli zake, kiasi ikawa ina destibilize mikakati
Netanyahu alishajaribu kumtoa ila Umma ulikataa na kuanzisha maandamano akasalia na ata sasa si unaona kuna maandamano mara baada ya kung'olewa kwakwe?Kosa lake nini ?
Wakati wanaanza uvamizi Ghaza Netanyahu aliweka malengo ya kuifuta Hamas ila mwamba alimuambia hicho kitu hakiwezekani cos Hamas ni itikadi kama dini tu ili uweze kuifuta Hamas lazima uuwe Raia wote wa Gaza! Jamaa ni mwanasiasa wa chama cha Likud chenye mrengo wa kulia lakini ata hivyo hana itikadi kali kama alivyo Benjaman Netanyahu. Kwaiyo Netanyahu anamuona kama kikwazo tuKuna mengi ambayo hatuyajui kuhusu sababu za kutumbuliwa kwa Gallant.
conspiracy theory moja inasema sababu ya mwamba kutumbuliwa ni kwama alikuwa akimtafuna sara Netanyau, mke wa Bibi kimya kimya.
Nyingine inadai kuwa mwamba alipingana na bosi wake kwani alikuwa anaamini njia ya majadiliano ya amani ndio ilikuwa njia sahihi ya kumaliza mzozo ambapo ingepelekea kuachiwa kwa mateka wa Israel lakini Netanyau alikataa peace deal hiyo.
Niishie hapo.
Time will tell
Kuifuta Palestine sio ? mbona ni tofauti kabisa na kinacho tokea katika jumuiya ya kimataifa kuhusu mustakabali wa taifa la Palestine na suluhisho la mataifa mawili.
Sauti za wapalestina zinasikika mara mbili zaidi ya awali thanks to Hamas na ujinga wa majeshi ya Israel na serikali yao kwa yanayo endelea Gaza
Hata myahudi na kafiri wa hapa Kenya aliwaeka wenzie wasio kua na akili kama nyie na njaa ili wafe wakamuone Jesuna vipi kujitoa mhanga, na kuchinja wakristo na wayahudi kwa ndugu kobazs. huko nako ukuseme.
Sijaona mijitu mijinga kama hi duniani, kwanza vipi useme Mungu wako kazaliwa kwenye zizi la ngo'mbe. Afu wachana na hio Mungu amezaliwa na bina adamu, sa mama yake Yesu Mungu wake ni nani, ni mtoto wake au 😄Hata myahudi na kafiri wa hapa Kenya aliwaeka wenzie wasio kua na akili kama nyie na njaa ili wafe wakamuone Jesu
Ukweli mchungu majamaa hayajitambui yapo yapo tu mtu mwenye kujitambua hawezi abudia sanamuSijaona mijitu mijinga kama hi duniani, kwanza vipi useme Mungu wako kazaliwa kwenye zizi la ngo'mbe. Afu wachana na hio Mungu amezaliwa na bina adamu, sa mama yake Yesu Mungu wake ni nani, ni mtoto wake au 😄
Unataka kuwaokoa mateka kwa F35 au markeva hii umeshaawahi kuiona wapi duniania hatakama una FF lazima ujue Netanyahu ni mwendawazimuKuna mengi ambayo hatuyajui kuhusu sababu za kutumbuliwa kwa Gallant.
conspiracy theory moja inasema sababu ya mwamba kutumbuliwa ni kwama alikuwa akimtafuna sara Netanyau, mke wa Bibi kimya kimya.
Nyingine inadai kuwa mwamba alipingana na bosi wake kwani alikuwa anaamini njia ya majadiliano ya amani ndio ilikuwa njia sahihi ya kumaliza mzozo ambapo ingepelekea kuachiwa kwa mateka wa Israel lakini Netanyau alikataa peace deal hiyo.
Niishie hapo.
Time will tell
Hivyo vishoga vinanyofolewa mdogo mdogo.
Unataka kuwaokoa mateka kwa F35 au markeva hii umeshaawahi kuiona wapi duniania hatakama una FF lazima ujue Netanyahu ni mwendawazimu
Wanabishana kuhusu kumuua kiongozi mkuu wa Iran, waziri anasema wamuache il wasiende kwenye full scale war… waue wengine wote. Ye Netanyahu anamtaka Ayayollah amuwahishe akale vimodo 72