Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kunywa maji ya uvugu uvugu kijana usije ukapata presha ukafa mapemaMda wote tu una waza ugaidi shekhe ndo mnavyo fundishwa hvo kwenye mafundisho yenu ya alah?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa maji ya uvugu uvugu kijana usije ukapata presha ukafa mapemaMda wote tu una waza ugaidi shekhe ndo mnavyo fundishwa hvo kwenye mafundisho yenu ya alah?
Baada ya hawa kuuawa Mazayuni wametangaza kushinda vita? Mbona ndio kwanza haelewi hata ashike lipi aache lipi kila siku anashambuliwa tena hadi sebuleni kwake.
St kayumba nivumilie tu na elimu yangu ya memkwaWe jamaa una mwandiko mbaya sana.
Unadhani wote wana mambo yakoShekhe amka ukakojoe usije achia kubwa apo kitandani
Na perspective ya mtu kushinda inategemea ulijiekea malengo gani tuanze na ya israhell ambao waliyatangaza ni kuifuta hamas mwaka sasa hamas inapigana na siku kadhaa nyuma wamerusha makombora ndani ya israhell kutokea Ghaza kuwakomboa mateka ambapo mwaka naa sasa wamekomboa mateka watano kwenye mateka zaidi ya mia waliotekwa hapa usilete mapenzi tuongee hoja kwenye malengo alojiekea zayuni kafikia lengo lipi mwisho hatujui lengo la hamas lilikua nini ama kama unalijua liseme israhell ukiisikia jukwaani hapa inaogopeshaKushinda au kushindwa inategemea perpectives ya mtu. Kama wapiganaji wanakufa, makamanda wanakufa, viongozi wanakufa, wananchi wanakufa na makazi mnapewa amri ya kuyahama mnatii, huduma za maji, afya na nishati mnazuiwa kuzipata, na bado mnajiita mmeshinda, huo ni moyo mkubwa wa kupongezwa
Wanataka kubadilisha malengo ya vita kuficha aibu ya kushindwa kwa zayuniBaada ya hawa kuuawa Mazayuni wametangaza kushinda vita? Mbona ndio kwanza haelewi hata ashike lipi aache lipi kila siku anashambuliwa tena hadi sebuleni kwake.
Kama ulidhani kumuua kiongozi wa Hamas ama Hezbollah ndio umshinda vita basi ni kujidanganya pakubwa mno maana licha ya viongozi hawa kuuawa hakuna kilichobadilika kwenye uwanja wa vita. Tafakari mwenyewe.
mungu wa waisrael ni marekaniMungu wa waisraeli ni mkuu (supremacy God ) sio mungu wa waislamu ambaye ni mkubwa ( big,huge, Volume) in high size , ukiwa mkubwa huna la maana ndio maana Mungu wa waislamu anashindwa kila jambo ,Mungu wa waisraeli ni mkuu ana mamlaka na utiisho
USSR
Sio kweli, huko nyuma walizoea mambo laisi sana, walikuwa wanachukua siku moja au mbili wakivuka boda ya Lebanon wanakuwa wameshafika Beirut. Sasahivi mwezi mzima hata kuchukua kijiji kimoja ndani ya Lebanon imekuwa mtiani. Wajomba mambo yamebadulika. Tuache kukariri mamboHao wamekufa wakipigania kile wanacho kiamini na walipo chaguliwa walijua kuwa ipo siku hayo yatawatokea hivyo hakuna ajabu yeyote.
Ila nyinyi waisrael wa Namanga huwa mnachekesha sana,kama Gallant mwenyewe amemwambia wazi Netanyau kuwa hatuwezi kushinda hii vita na Netanyau akamfukuza kwa kulinda masilahi yake ya kisiasa ww ni nani mpaka ulipinge hili?
Tena kuna taarifa kuwa Netanyau pia anampango wa kumfuta kazi mkuu wa jeshi na mkurugenzi mkuu wa usalama maana na wao wamemwambia wazi kuwa vita inayo endelea sasa haina maana yeyote zaidi ya kuendelea kuitia nchi hasara na kupoteza maisha ya wanajeshi.
Netanyau yeye watoto wake wote wako Marekani wanaishi kwenye apartment za kifahari wakisugua mbunye za malaya alafu yeye ana komalia watoto wa wengine wafie masilahi yake ya kisiasa.
Kachimbe vifusi GazaBaada ya hawa kuuawa Mazayuni wametangaza kushinda vita? Mbona ndio kwanza haelewi hata ashike lipi aache lipi kila siku anashambuliwa tena hadi sebuleni kwake.
Kama ulidhani kumuua kiongozi wa Hamas ama Hezbollah ndio umshinda vita basi ni kujidanganya pakubwa mno maana licha ya viongozi hawa kuuawa hakuna kilichobadilika kwenye uwanja wa vita. Tafakari mwenyewe.
Wapumbavu sana walitakiwa kupata Kiongozi aina ya Putin au Magufuri wangenyooshwa mpaka akili ziwakae sawa.Unadikiri ni kikundi cha kihuni na sio nchi
Nasikia anashinda mapokezi ya ofisi ya Netanyahu akijibu kushawishwi kuwa asikilizwe na ateuliwa alitumikie taifa lake
🚨🇵🇸 Hamas leader Sami Abu Zuhri:Huyo alitakiwa kuondolewa kitambo tu, Metanyahu ndiye alimkingia kifua muda wote
Kukomboa mateka ni gia tu, wanataka kuifuta Palestina. Hawawezi kusema kuifuta Palestina maana jumuiya za kimataifa zitailaani. Ila ndicho wanachofanyaNa perspective ya mtu kushinda inategemea ulijiekea malengo gani tuanze na ya israhell ambao waliyatangaza ni kuifuta hamas mwaka sasa hamas inapigana na siku kadhaa nyuma wamerusha makombora ndani ya israhell kutokea Ghaza kuwakomboa mateka ambapo mwaka naa sasa wamekomboa mateka watano kwenye mateka zaidi ya mia waliotekwa hapa usilete mapenzi tuongee hoja kwenye malengo alojiekea zayuni kafikia lengo lipi mwisho hatujui lengo la hamas lilikua nini ama kama unalijua liseme israhell ukiisikia jukwaani hapa inaogopesha
Suala la kuifuta palestina ndio lengo lao na dunia nzima inajua hata kama hawajasema ila kwa mpaka sasa kwenye hilo wamefanikiwaaa amaKukomboa mateka ni gia tu, wanataka kuifuta Palestina. Hawawezi kusema kuifuta Palestina maana jumuiya za kimataifa zitailaani. Ila ndicho wanachofanya
Ndio ushindi pekee huo anaojivunia zayuni ila wajuba wa hamas wanayatumia hayo hayo magofu kuichapa idf picha picha hizi ni ishara za kushindwa hojaKachimbe vifusi GazaView attachment 3144892