Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

Baada ya hawa kuuawa Mazayuni wametangaza kushinda vita? Mbona ndio kwanza haelewi hata ashike lipi aache lipi kila siku anashambuliwa tena hadi sebuleni kwake.

Kama ulidhani kumuua kiongozi wa Hamas ama Hezbollah ndio umshinda vita basi ni kujidanganya pakubwa mno maana licha ya viongozi hawa kuuawa hakuna kilichobadilika kwenye uwanja wa vita. Tafakari mwenyewe.
 
Kushinda au kushindwa inategemea perpectives ya mtu. Kama wapiganaji wanakufa, makamanda wanakufa, viongozi wanakufa, wananchi wanakufa na makazi mnapewa amri ya kuyahama mnatii, huduma za maji, afya na nishati mnazuiwa kuzipata, na bado mnajiita mmeshinda, huo ni moyo mkubwa wa kupongezwa
Na perspective ya mtu kushinda inategemea ulijiekea malengo gani tuanze na ya israhell ambao waliyatangaza ni kuifuta hamas mwaka sasa hamas inapigana na siku kadhaa nyuma wamerusha makombora ndani ya israhell kutokea Ghaza kuwakomboa mateka ambapo mwaka naa sasa wamekomboa mateka watano kwenye mateka zaidi ya mia waliotekwa hapa usilete mapenzi tuongee hoja kwenye malengo alojiekea zayuni kafikia lengo lipi mwisho hatujui lengo la hamas lilikua nini ama kama unalijua liseme israhell ukiisikia jukwaani hapa inaogopesha
 
Baada ya hawa kuuawa Mazayuni wametangaza kushinda vita? Mbona ndio kwanza haelewi hata ashike lipi aache lipi kila siku anashambuliwa tena hadi sebuleni kwake.

Kama ulidhani kumuua kiongozi wa Hamas ama Hezbollah ndio umshinda vita basi ni kujidanganya pakubwa mno maana licha ya viongozi hawa kuuawa hakuna kilichobadilika kwenye uwanja wa vita. Tafakari mwenyewe.
Wanataka kubadilisha malengo ya vita kuficha aibu ya kushindwa kwa zayuni
 
Hao wamekufa wakipigania kile wanacho kiamini na walipo chaguliwa walijua kuwa ipo siku hayo yatawatokea hivyo hakuna ajabu yeyote.

Ila nyinyi waisrael wa Namanga huwa mnachekesha sana,kama Gallant mwenyewe amemwambia wazi Netanyau kuwa hatuwezi kushinda hii vita na Netanyau akamfukuza kwa kulinda masilahi yake ya kisiasa ww ni nani mpaka ulipinge hili?
Tena kuna taarifa kuwa Netanyau pia anampango wa kumfuta kazi mkuu wa jeshi na mkurugenzi mkuu wa usalama maana na wao wamemwambia wazi kuwa vita inayo endelea sasa haina maana yeyote zaidi ya kuendelea kuitia nchi hasara na kupoteza maisha ya wanajeshi.

Netanyau yeye watoto wake wote wako Marekani wanaishi kwenye apartment za kifahari wakisugua mbunye za malaya alafu yeye ana komalia watoto wa wengine wafie masilahi yake ya kisiasa.
Sio kweli, huko nyuma walizoea mambo laisi sana, walikuwa wanachukua siku moja au mbili wakivuka boda ya Lebanon wanakuwa wameshafika Beirut. Sasahivi mwezi mzima hata kuchukua kijiji kimoja ndani ya Lebanon imekuwa mtiani. Wajomba mambo yamebadulika. Tuache kukariri mambo
 
Baada ya hawa kuuawa Mazayuni wametangaza kushinda vita? Mbona ndio kwanza haelewi hata ashike lipi aache lipi kila siku anashambuliwa tena hadi sebuleni kwake.

Kama ulidhani kumuua kiongozi wa Hamas ama Hezbollah ndio umshinda vita basi ni kujidanganya pakubwa mno maana licha ya viongozi hawa kuuawa hakuna kilichobadilika kwenye uwanja wa vita. Tafakari mwenyewe.
Kachimbe vifusi Gaza
231011160808-09-israel-gaza-conflict-101123.jpg
 
Retired Brigadier General Noam Tiffon, a senior IDF officer, admitted: "Unfortunately, the IDF is not telling the truth. So far, we have lost 10,000 soldiers in this war, which is equivalent to an entire division."
 
Huyo alitakiwa kuondolewa kitambo tu, Metanyahu ndiye alimkingia kifua muda wote
🚨🇵🇸 Hamas leader Sami Abu Zuhri:

“Netanyahu dismissed his Defence Minister Yoav Galant, who was BRAGGING that he would eliminate Hamas…

Today we say to them - Galant is GONE, but Hamas REMAINS!”
 
Na perspective ya mtu kushinda inategemea ulijiekea malengo gani tuanze na ya israhell ambao waliyatangaza ni kuifuta hamas mwaka sasa hamas inapigana na siku kadhaa nyuma wamerusha makombora ndani ya israhell kutokea Ghaza kuwakomboa mateka ambapo mwaka naa sasa wamekomboa mateka watano kwenye mateka zaidi ya mia waliotekwa hapa usilete mapenzi tuongee hoja kwenye malengo alojiekea zayuni kafikia lengo lipi mwisho hatujui lengo la hamas lilikua nini ama kama unalijua liseme israhell ukiisikia jukwaani hapa inaogopesha
Kukomboa mateka ni gia tu, wanataka kuifuta Palestina. Hawawezi kusema kuifuta Palestina maana jumuiya za kimataifa zitailaani. Ila ndicho wanachofanya
 
Suala la kuifuta palestina ndio lengo lao na dunia nzima inajua hata kama hawajasema ila kwa mpaka sasa kwenye hilo wamefanikiwaaa ama
 
Back
Top Bottom