Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

Mnijuwa sababu ya kufukuzwa galant?

Kamwabia nyau tunappigwa na hakuna njia ya kushinda, vijana wanakwisha na askari wa kukodi wanagoma kuja kupigana, mimi nanyanyua bendera nyeupe.

Nyau kaona hiyo ni aibu kubwa kwake, kamfukuza jamaa, na yeye jhawezi kuwachia ngazi, mashtaka ya ufisadi yanamngoja ayajibu hapo kwao, na mashtaka ya mauwaji ya Kimbari (genocide) yanamngoja The Hague.

Hapo alipo anatamani auliwe.
 
Nchi inayotamba lna jeshi, teknolojia, silaha bora suniani na inasaidiwa na wamerekani na nato nzima, na bado inashindwa na vikundi vya mgambo tu.

Hapo ndiyo utaelewa kuwa Mwenyezi Mungu Mkubwa.

Alahu Akbar.
Ila ndugu zetu wanateketea kila uchwao na hawana hatia yoyote masikini!!! Allah awarehemu
 
Katika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
We jamaa una mwandiko mbaya sana.
 
Wenzako wameficha makomwe yao mashimoni kukwepa drones,wewe unaangalia majirani kama chai yao imeungwa mdalasini!Umekuwa kibweka ndugu.

Huku ndiko kunaitwa Kenya huko kujikakamua.

Wenzako wangali wanapima upepo:

IMG_20211016_132442_593.jpg

Kwani imekuwa je tena si Nasrallah, Sinwar, na Hanniyeh ni marehemu, au?
 
Katika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
Shekhe amka ukakojoe usije achia kubwa apo kitandani
 
Shekhe amka ukakojoe usije achia kubwa apo kitandani
Hao huwa hawakosi maneno mdomoni na kuwaza maluweluwe muda wote.Walianza kujidanganya kwamba Israeli hawawezi kuingia Gaza.Wakaja tena,Hezbollah ni kiboko.Israeli akianzisha mapigano nao tu,ndiyo mwisho wa Myahudi.Mpaka leo sijui watayakataa maneno yao?Blah blahs nyingi kuliko uwezo na uhalisia.
 
Katika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
Kushinda au kushindwa inategemea perpectives ya mtu. Kama wapiganaji wanakufa, makamanda wanakufa, viongozi wanakufa, wananchi wanakufa na makazi mnapewa amri ya kuyahama mnatii, huduma za maji, afya na nishati mnazuiwa kuzipata, na bado mnajiita mmeshinda, huo ni moyo mkubwa wa kupongezwa
 
Huu mtazamo wa Mungu mkubwa kidogo uikoseshe Pakistan bomu la nyuklia. Wenzao Wahindi walikuwa busy na sayansi na teknolojia, Wapakistani wanafanya research ya majini na sijui nani kupaa mbinguni. Kuja kushtuka wakagundua swala tano na nyuklia ni mbingu na ardhi, wakawezesha wanasayansi halisi.

Israel iko hapo kila mwaka inashinda nyie mnazidi kumtaja Mungu. Israel hapigwi kwa imani, ni silaha, mbinu, tech, washirika na mikakati.
Kama tech tu ndio ingekua inaamua mshindi wa vita muda huu wangekua wamekomboa magaidi wao wote waliotekwa na wangekua wameikalia Ghaza ila mpaka leo Ghaza tena kule kaskazini wanakufa kama nzige au mungu wao kawasaliti
 
Siasa za Israel ni za ajabu sana nchi ilitakiwa kuwa pamoja wakati huu wa vita ilacha ajabu Kuna wapinzani kama wote kuanzia wanasiasa ngazi zajuu mpaka wananchi wa kawaida hii sio sawa ni hatar sana kwa Usalama wa nchi.
Hakuna usawa mwamba kaamua kumchana mshuwa kama mateka waachiwe huru tuondoke Ghaza pale hatupawezi paka kamind mwamba kaamua kuwa mkweli mulitaka adanganye hamas kamatieni hapo hapo
 
Israeli walidhan watapigana miezi 2 washinde vita ikiwa ndefu na huna jeshi humilivu lazima uchoke ndo kinachowatesa ..kila mmoja akienda ghaza hatamani kurudi tena huko japo naona Netanyahu anawasukumia huko tu waenda
Kabisa israhell na baadhi ya wachafuzi wake hapa ndani waliamini itakua kama six day waaa yao yakutunga kumbe watu walijiaandaa israhell anajikuta kwenye wakati magumu na kikubwa kinacho fanya majamaa wasishinde hii vita ni hawana akili wenzao hamas wanapigana na wanajeshi wao wanapigana na mama wadada watoto hospital wazee nk ndio maana hawashindi vita na hii vita israhell kushinda asahau kuua wasohusika na kuvunja majengo ndio ushindi pekee mgambo wao washachoka wanalazimishwa tu kwenda kupigana
 
Kama tech tu ndio ingekua inaamua mshindi wa vita muda huu wangekua wamekomboa magaidi wao wote waliotekwa na wangekua wameikalia Ghaza ila mpaka leo Ghaza tena kule kaskazini wanakufa kama nzige au mungu wao kawasaliti
Mda wote tu una waza ugaidi shekhe ndo mnavyo fundishwa hvo kwenye mafundisho yenu ya alah?
 
⚡️ Israel Hayom: For the first time in several months, Israeli soldiers are facing Palestinian resistance fighters in face-to-face combat at close range in Jabalia, which led to the killing of 19 soldiers, a relatively high number that indicates the difficulty of the fighting.
Na hapa ndio wazayuni wanapochoka mwaka sasa nachenji wahuni wamekaza walisema kivuko cha rafah kinapitisha silaha wamekizuia ila silaha wanazo hii vita israhell hashindi
 
Back
Top Bottom