Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

NDANI TU:

🇮🇱 Netanyahu anafikiria kumfukuza kazi Herzi Halevi pia

Wahalifu wa kivita wana wakati mbaya usiku wa leo

Vyombo vya habari vya Israel sasa vinaripoti kwamba Netanyahu pia anafikiria kuchukua nafasi ya Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Herzi Halevi na Mkurugenzi wa Shin Bet Ronen Barr, baada ya kumfukuza kazi waziri wa ulinzi Gallant.
 
Mbona mambo mengi sana jamani? Huku hatujamalizana na Baltasar wa Guinea umekuja uchaguzi wa US, hapa tunasubiri UEFA sisi wapenzi wa mpira mara mambo ya Netanyahu na Gallant tena!
Nimekumisi Nifah.
 
Katika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
Israeli walidhan watapigana miezi 2 washinde vita ikiwa ndefu na huna jeshi humilivu lazima uchoke ndo kinachowatesa ..kila mmoja akienda ghaza hatamani kurudi tena huko japo naona Netanyahu anawasukumia huko tu waenda
 
⚡️ Israel Hayom: For the first time in several months, Israeli soldiers are facing Palestinian resistance fighters in face-to-face combat at close range in Jabalia, which led to the killing of 19 soldiers, a relatively high number that indicates the difficulty of the fighting.
 
Mambo ya sirini yamevuja kumbe kuna Battle ya Iraq walikua hawatangazi ni kazi ya kimya kimya

❇️ So Iraqi resistance was already killing and performing major operations, which were kept hidden, and Israel was crying without tears. That is the biggest and the major happening; it’s like Wada Sadiq.
 
Operation inaendelea.
Kamanda mkuu wa Hezbollah aliyekuwa na ugangwe kafa akipiga drone kwa fimbo🥹

Mkuu wa Hamas kafia nyumba za wageni Iran akizungukwa na ulinzi mkali ila haukumsaidia.

Hao wamekufa wakipigania kile wanacho kiamini na walipo chaguliwa walijua kuwa ipo siku hayo yatawatokea hivyo hakuna ajabu yeyote.

Ila nyinyi waisrael wa Namanga huwa mnachekesha sana,kama Gallant mwenyewe amemwambia wazi Netanyau kuwa hatuwezi kushinda hii vita na Netanyau akamfukuza kwa kulinda masilahi yake ya kisiasa ww ni nani mpaka ulipinge hili?
Tena kuna taarifa kuwa Netanyau pia anampango wa kumfuta kazi mkuu wa jeshi na mkurugenzi mkuu wa usalama maana na wao wamemwambia wazi kuwa vita inayo endelea sasa haina maana yeyote zaidi ya kuendelea kuitia nchi hasara na kupoteza maisha ya wanajeshi.

Netanyau yeye watoto wake wote wako Marekani wanaishi kwenye apartment za kifahari wakisugua mbunye za malaya alafu yeye ana komalia watoto wa wengine wafie masilahi yake ya kisiasa.
 
Katika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
Kumbe hamas ndo wameshinda vita?afu tukiwaambia wafuasi wa allah ni mbumbumbu mnalia lia
 
Katika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
Akijisemea chambuzi la medani za habari za kimataifa kutoka kizimkazi Bwana Utam
 
Katika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
Bahati mbaya sana wajinga wenzako wamekupa likes
 
Mungu ni mkubwa sana , kwanza gantz kamwambia ukweli akaamua kuachana na upumbavu akajiuzulu
Sasshivi gallant ambaye alishampinga mara nyingi hadharani na kumuita netanyahu muongo, wote tulijua kama anavizia kumfukuza ,ila haitobadilisha kitu kama netanyahu ni muongo na kafeli tayari ,anatapatapa tu
Weka ushahidi wa ulichokiandika, bahati mbaya sana wajinga wenzako wamekupa likes
 
Back
Top Bottom