Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Ndio hamas imefutwa kama alivyotangaza paka hongereni kwa kuifuta hamas na hizbullah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hamas imefutwa kama alivyotangaza paka hongereni kwa kuifuta hamas na hizbullah
Ndio uwezo wa wazayuni ulipoishia hapo na huo ndio ushindi wao ila yale alotutangazia paka yakifikiwa uje uniambieLakini Gaza ishakuwa magofu kitambo, mkuu.
Operation inaendelea.Ndio hamas imefutwa kama alivyotangaza paka hongereni kwa kuifuta hamas na hizbullah
Huyu ni kichaa atarusha ata Nuke bila idhini ya wakubwa wakeItimar Ben Gvir ndiyo anapigiwa chapuo na amemwomba NETANYAU amteue yeye kwasababu ya uchizi wake
Kama atachaguliwa huyu Mzee kuwa waziri wa ulinzi tutegemee vita ya tatu ya dunia View attachment 3144631
Hana jipya ngoja uoneItimar Ben Gvir ndiyo anapigiwa chapuo na amemwomba NETANYAU amteue yeye kwasababu ya uchizi wake
Kama atachaguliwa huyu Mzee kuwa waziri wa ulinzi tutegemee vita ya tatu ya dunia View attachment 3144631
Kwa hiyo Hamas kushindwa hadi kila Mpalestina pale Mashariki ya Kati aliwe kichwa? Mbona ni hatari sana.Ndio uwezo wa wazayuni ulipoishia hapo na huo ndio ushindi wao ila yale alotutangazia paka yakifikiwa uje uniambie
Ndiyo maana sie tumeamua kwenda na Trump.Mbona mambo mengi sana jamani? Huku hatujamalizana na Baltasar wa Guinea umekuja uchaguzi wa US, hapa tunasubiri UEFA sisi wapenzi wa mpira mara mambo ya Netanyahu na Gallant tena!
Ila bado yote hayo hayajafanya hamas na hizbullah kukata tamaa kama alivyokata paka kwa Ben operation inakua na muda ganiOperation inaendelea.
Kamanda mkuu wa Hezbollah aliyekuwa na ugangwe kafa akipiga drone kwa fimbo🥹
Mkuu wa Hamas kafia nyumba za wageni Iran akizungukwa na ulinzi mkali ila haukumsaidia.
Ngoma ngumu kwa hamas hili halina ubishi ila israhell hatoboiiiKwa hiyo Hamas kushindwa hadi kila Mpalestina pale Mashariki ya Kati aliwe kichwa? Mbona ni hatari sana.
Kwa sisi wachambuzi makini, ile wiki moja tu ya mwanzo mtikasi ulipoanza katika harakati za kuwafurusha Hamas Israeli, tulijua ngoma ni nzito kwa Palestina na Hamas wote.
Adui anakutafuta, wewe unajificha? Hapo ni suala la muda tu, mtu analiwa kichwa.
Wanaukumbi.
Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa
Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake.
===============
Netanyahu dismissed defense minister Yoav Gallant from his position.
It is being speculated that current Israeli Foreign Minister Israel Katz will replace him.
View: https://x.com/currentreport1/status/1853860552524874235?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://x.com/aryjeay/status/1853862899527368837?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Sina la kusema tena, mkuu. Tukubaliane kutokubaliana. Muda utasema vizuri. Kesho Trump, baada ya ushindi, anatoa maelekezo ya kukamilisha mara moja chokochoko za hapo Mashariki ya Kati.Ngoma ngumu kwa hamas hili halina ubishi ila israhell hatoboiii
Ka-eliminate takataka zote hizo yet KPI bado. Sipati picha hiko chuma kinachoenda kuteuliwa. KPI #1: Elimination of kubwa la magaidi.
Watakwambia wazayuni wamepiga hesabu zao hapo israhell ukiisikia hapa jf au bbc utaogopaaaaWana Israel wa Tukuyu Mbeya watakwambia hiyo ni 'strategy'. Daaaaah Israel inakuzwa sana
Drone kwa fimbo ni Sinwar wa Hamas bhana.Operation inaendelea.
Kamanda mkuu wa Hezbollah aliyekuwa na ugangwe kafa akipiga drone kwa fimbo🥹
Mkuu wa Hamas kafia nyumba za wageni Iran akizungukwa na ulinzi mkali ila haukumsaidia.
Unahisi dt ataja na mpya gani na hapo kuikamilisha choko choko sijakuelewaSina la kusema tena, mkuu. Tukubaliane kutokubaliana. Muda utasema vizuri. Kesho Trump, baada ya ushindi, anatoa maelekezo ya kukamilisha mara moja chokochoko za hapo Mashariki ya Kati.
Jamaa anakuja na kasi ya 6G+
Mimi sikuwa nikimkubali Trump ila kwa ajili ya Russia na Mashariki ya kati na ashinde tu.Ndiyo maana sie tumeamua kwenda na Trump.
#Trump4President!
Ushindi upi unaongelea?Katika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
Shikamoo dadaMimi sikuwa nikimkubali Trump ila kwa ajili ya Russia na Mashariki ya kati na ashinde tu.